Inashangaza mkuuKwa nini kuna kigugumizi kwenye kufunga mipaka au kulazimisha 14 days isolation kwa yoyote anayeingia? Hivi ukifunga shule huku umeruhusu watu kuingia hovyo nchini kuna faida gani? Kwenye inshu ya Corona serikali imekuwa legevu sana.
Ndiyo Mkuu.... na wazazi tushaongezewa ratiba ya kesho kuwafata watoto wetu walio boarding....Kwahiyo kesho hakuna kupeleka watoto shule?
Daahh Leo nmekupa Likehata elimu ya juu inafaa kufungwa, kama inawezekana kuwe na online tutorials..Mungu tuepushe na hili balaa
I agree with u completely.Mihemko sana hii nchi. Hivi kuna Mwafrica yyte ameshafariki kwa Corona?Hii kitu siyo serious kiasi hicho kama inavyotangazwa
Hakuna lakini watu wanatokaje mpaka wa Kenya hadi wanafika Iringa bila kujulikana? Huoni kama kuna tatizo?...
Shida yetu ni kwamba hoja huwa tunazipuuza wahenga walishasema Tahadhari kabla ya hatariKarantini nchi nyingi zinafanya... Ila hiyo hoja yako practically haipo.
dah afadhali siku30 watatusaidia kwa shughuli za shambaKwahiyo kesho hakuna kupeleka watoto shule?
Mkuu unaweza kunisaidia kwanini hawafunga vyuo...hata elimu ya juu inafaa kufungwa, kama inawezekana kuwe na online tutorials..Mungu tuepushe na hili balaa
Ngoja muda si mrefu Europe wanafunga mipaka yao, so hakuna wasafiri watakaotokea huko wala kuingia, labda wachina.1.Eti anasema watu wanashauriwa kuhairisha safari? Badala ya kusitisha safari.
2. Eti waendelee kupima watu airport instead ya kuzuia wageni kuingia.
Serikali yetu haijali wananchi wala haitutakii mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Internet yetu bado ipo chini sanahata elimu ya juu inafaa kufungwa, kama inawezekana kuwe na online tutorials..Mungu tuepushe na hili balaa
Hawa watu hawako serious!!Bars, restaurants na night clubs bado viko wazi Shule tu ndo zinafungwa?.😳
Itafikia pahala mikusanyiko yote itapigwa pini, kaeni mkao wa kula.
Huu ugonjwa upo siriaz...ila sisi tunaleta masihala!Ila wakuu hii inshu ni serious..