Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Kwa nini kuna kigugumizi kwenye kufunga mipaka au kulazimisha 14 days isolation kwa yoyote anayeingia? Hivi ukifunga shule huku umeruhusu watu kuingia hovyo nchini kuna faida gani? Kwenye inshu ya Corona serikali imekuwa legevu sana.
Inashangaza mkuu
 
1.Eti anasema watu wanashauriwa kuhairisha safari? Badala ya kusitisha safari.
2. Eti waendelee kupima watu airport instead ya kuzuia wageni kuingia.

Serikali yetu haijali wananchi wala haitutakii mema.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja muda si mrefu Europe wanafunga mipaka yao, so hakuna wasafiri watakaotokea huko wala kuingia, labda wachina.
 
Majitu yanalalamika!! Wewe kaa hapo ule dagaa, corona haiwezi kukufuata mswahili wewe!

Eti ooh tufunge kila kitu, misikiti, kona na machimbo yote!!

Hebu mtulie basi! Ropo ropo tu kila mtu mjuzi!

Pumbavu kweli! Kaeni mtulie, serikali inajua kinachopaswa kufanywa!
 
Back
Top Bottom