Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kama wewe.Wale wa toto Wasio penda Shule hii Nikama kuokota dodo Kwenye moarobaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe.Wale wa toto Wasio penda Shule hii Nikama kuokota dodo Kwenye moarobaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu vyuo vikuu, au ni watu wazima watajikinga kikamilifu?“Serikali imeamua kufunga shule zote kuanzia awali, shule za msingi, shule za sekondari hadi kidato cha sita kwa siku 30,
Wizara itafanya marekebisho ya ratiba ya mitihani ya kidato cha sita, lengo likiwa ni kujikinga na corona”- Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu View attachment 1391145
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nimenunua gram 1000 za Shash.Vipi wewe ushajaza Bia kwenye jokofu ?
Maana weekend hakuna kwenda location.
Mimi Sina bando ya kumsikiliza youtube! Hivi amesema kama watawaajiri wataalamu wa afya japo kwa muda mfupi? Vipi kuhusu vifaa?1.Eti anasema watu wanashauriwa kuhairisha safari? Badala ya kusitisha safari.
2. Eti waendelee kupima watu airport instead ya kuzuia wageni kuingia.
Serikali yetu haijali wananchi wala haitutakii mema.
Sent using Jamii Forums mobile app