I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Wafunge na safari za ndani kwa ndani(mkoa - mkoa) ya tz kwa muda pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wazazi tuliokuwa tunadaiwa ada tu nasema afadhali tupumue Kaz kwa wamiliki washule walivyokuwa wanasubir tumalizie ada kabla ya mid term.
Kaz imebaki kwenye nyumba za kupanga Sasa naomba serikali itoe tamko hakuna kutoka wala kusafiri ili tupate sababu ya kuendelea kuishi mpaka tutakapopata pesa zao
Hakuna watalii saivi, kila nchi ipo katika hali ya tahadhari, ni kheri mara mia tukose fedha ya watalii wachache waliobaki kuliko ugonjwa uingie mtaani na vijijini, watu si tu watakufa kwa Corona bali watakufa kwa njaa kutokana na kulazimishwa kukaa ndani kama ugonjwa umesambaa.Mkuu unataka wakose fedha za watalii?
Ni kweli !!hata elimu ya juu inafaa kufungwa, kama inawezekana kuwe na online tutorials..Mungu tuepushe na hili balaa
Kama sio serious kajitoleee uchomwe sindano yenye virusi hivyo halafu uendelee na shuhuli zako kama kawaida, mbona simple sanaHii kitu siyo serious kiasi hicho kama inavyotangazwa
Online tutorial kwa teknolojia gani tulizonazo,Online tutorials kibongo bongo bado! Ni kheri vyuo vifungwe tu
Natamani nimtafte sister anguHii ya kufungwa shule madogo wa primary sipimi furaha yao... Yaani ni noma wanatamani korona isiishe [emoji81][emoji81]
Biashara za watu hizi mkuu wenye pesa , wengine ni wafadhili wa chama..Bars, restaurants na night clubs bado viko wazi Shule tu ndo zinafungwa?.[emoji15]
Itafikia pahala mikusanyiko yote itapigwa pini, kaeni mkao wa kula.
Kwenye daladala kama ni ivyo inabidi nauli iongezeke,mfano kama kutoka tabata hadi muhimbili nauli iwe elfu Tano,je mtaweza.....ama kama vile serikali inataka kuweka level seat basi watoe mafuta bure kwa kila daladalaSafi sana hii tahadhali.nashauri pia kwenye usafiri wa gari abiria wasisimame wakae levo siti mana wakisimama kugusana ni rahisi,hili mnalionaje wadau? mabaa nayo yafungwe watu wakilewa wanagusana hovyo huko