Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Hali ni mbaya sana na wana haki
Atakaepata corona atalipiwa mortgage miezi mitatu
Nafikiri hali itakuwa mbaya zaidi miezi ijayo kama hali itaendelea kuwa hivi
Tupeane moyo tu Mkuu hakuna lingine

Sent from my iPhone using Tapatalk

Trump wants to send Americans checks ‘immediately’ in response to coronavirus, Mnuchin says

Trump wants to send Americans checks ‘immediately’ in response to coronavirus, Mnuchin says

Explore the Fox News apps that are right for you at Apps and Products | Fox News.
Trump wants to send Americans checks ‘immediately’ in response to coronavirus, Mnuchin says

Trump wants to send Americans checks ‘immediately’ in response to coronavirus, Mnuchin says
 
Shule zimefungwa vipi . kanisa na misikiti?
Pasaka itakuwaje...
 
Wenzetu hata ambao hawana hata case moja, wame-take strong measures zaidi ya hii ya kwetu. Haitoshi kama mipaka yetu bado iko wazi.

Hii haitoshi kama ndege na wageni kutoka nchi zilizoathirika zaidi wanaendelea kuingia na hawawekwi quarantine.

India na US wamezuia safari za ndege kutoka Ulaya. Ghana nafikiri wamefunga mipaka kabisa kwa arrivals.
 
Shut borders against Europe,China, Iran and other countries with high prevalence to combat this virus. Mtayakumbuka maneno yetu.
 
Nyani Ngabu,
Aisee
Maajabu sana Haya
Kila nchi inahangaika na watu wake
Poleni
Ila na sisi huku yanakuja

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp

Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
 
Tangazo limekuwa generally sana maana hata wanafunzi wa vyuo hakugusia kabisa
Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp

Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.

In God we Trust
 
Wanafunzi ndio wateja wenu....sasa mtabaki mwezi mzima mnauza nini?? Kama ni kuandaa working materials si mfanyie nyumbani??
 
Back
Top Bottom