Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Sisi hatuna covid tuna ugonjwa wa kushindwa kupumua.na kuhusu vifo utajuaje Taz Ina vingi au vichache wakati si tu data hazitolewi bali hata kurekodiwa mahospital hakuna
 
But what should Magufuli do?

Magufuli hakuleta corona!

So?
 
Mibeberu katika ubora wao, hakuna kukanyaga ulaya wala America kwa checkup wala uduvi, wote mloganzila tu kudadadeki
 
Wewe ndo mjinga, Watalii wanao tupa Dolla ni unazania ni ukoo wako? Wewe unaweza hata kukaa nusu saa Serengeti National Park? ,
Sasahivi tunauza dhahabu na tanzanate wasitutishe, wambie wasije kutalii waone kama tutakufa njaa
 

..unakumbuka Makonda alivyofurahia mtoto wa Mbowe kuugua korona?
 
Mwana wa kulitafuta mwana wa kulugeti. Inaelekea hakuna mtanzania atakanyaga ulaya na Marekani
Hatuhitaji kwenda kwao! Ila wao ndo wanahitaji kuja kwetu. Wanavutiwa na Uhuru wa kuvuta hewa Safi bila barakoa
 
Nimeondoka huko uingereza wiki tatu zilizopita kumeoza kunanuka,mambo yote ni TZ Corona free watuache na life letuuuu.
Ukweli ni kwamba wazungu wanatuonea wivu!! Wamesubiri maiti ziokotwe barabarani kama walivyodhani lakini hilo halijatokea!!
Kingine, Wana hasira na Tanzania kwa sababu wameona hakuna soko la kuuza chanjo zao za Corona! Sasa hivi chanjo ni dili! Dozi moja ya chanjo ni dola 100. (Tsh 230,000/= Tumekataa kuliwa!!
 
#Kuanzia sasa tusishabikie timu zao.
Wao wamemwaga ugali basi sisi tubebe mboga. Ugali tutaupata tu.
Au nasema uongo ndg zangu
 
Ubalozi wapewe ushuhuda wa matendo ya Bwana, tumeuona mkono wake.
Nachoshangaa nchi hizi kubwa zinaiangalia Tanzania tu. Nimetembelea nchi kadhaa katika pembe ya Africa. Hakuna social distance, mask ukitaka mwenyewe. Kwenye magari hasa daladala za huko mnarundikana. Hawajawahi kufanya lockdown. Kwanini hawasemwi? Kwanini hawako kwenye Red list country? Inaandamwa tu Tanzania?
 
Nachoshangaa nchi hizi kubwa zinaiangalia Tanzania tu. Nimetembelea nchi kadhaa katika pembe ya Africa. Hakuna social distance, mask ukitaka mwenyewe. Kwenye magari hasa daladala za huko mnarundikana. Hawajawahi kufanya lockdown. Kwanini hawasemwi? Kwanini hawako kwenye Red list country? Inaandamwa tu Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…