Kwanza kabisa, maswali kama "where" "from" ni maswali yanayohusiana na causality, time, space, na mambo haya yanahitajika kufikiriwa upya na kwa undani zaidi.Let's us take it that way. Where did energy come from. I don't want to use terms like eternal or some misleading terms.
Hilo ndilo jibu linalotakiwa kutafutwa. Hiyo Cycle imeanzia wapi? And who/ what started it??Ukiuliza imetoka wapi? Ukipata jibu ,utaulizia pia hilo jibu kuwa imetoka wapi to infinity, ila kwa binafsi yangu naona kila kitu kipo kwenye cycl
Cycle ni duara tu ambalo ni endelevu halina mwanzo wala mwisho.Hilo ndilo jibu linalotakiwa kutafutwa. Hiyo Cycle imeanzia wapi? And who/ what started it??
Nashukuru sana ndugu umekuja. Kusema eternity nilitaka kuzuia mawazo ya kiimani maana I wanted this to be a purely scientific debate. Let's go on.Kwanza kabisa, maswali kama "where" "from" ni maswali yanayohusiana na causality, time, space, na mambo haya yanahitajika kufikiriwa upya nankwa undani zaidi.
Mambo kama quantum physics yanaweza kutuongoza.
Katika quantum physics, kwa kadiri tunavyoelewa mpaka sasa, kuna vitu kama virtual particles huwa vinatokea tu. From nowhere. Vina pop up tu kwenye spacetime. From the very fabric of spacetime.
Sasa hapo ukitafuta where did these virtual particles come from, utakuwa unatumia mental model ya classical physics katika quantum physics.
Logical non sequitur fallacy.
Yani kwa sababu unaona causality inafanya kazi katika scale yetu ya ulimwengu, si lazima iwe hivyo katika scales zote za ulimwengu.
Katika quantum realm maswali yako yote yanakosa maana.
So, can we look at the universe as a whole, and not just operate with anthropic bias? Can we look at tge equations too, not just look at the human experience?
Halafu kwa nini unafikiri dhana ya eternal ni misleading? Unaweza kuthibitisha kuwa dhana ya eternal ni misleading?
Unaweza kuchora cycle?Cycle ni duara tu ambalo ni endelevu halina mwanzo wala mwisho.
Kwanza kabisa, maswali kama "where" "from" ni maswali yanayohusiana na causality, time, space, na mambo haya yanahitajika kufikiriwa upya nankwa undani zaidi.
Mambo kama quantum physics yanaweza kutuongoza.
Katika quantum physics, kwa kadiri tunavyoelewa mpaka sasa, kuna vitu kama virtual particles huwa vinatokea tu. From nowhere. Vina pop up tu kwenye spacetime. From the very fabric of spacetime.
Sasa hapo ukitafuta where did these virtual particles come from, utakuwa unatumia mental model ya classical physics katika quantum physics.
Logical non sequitur fallacy.
Yani kwa sababu unaona causality inafanya kazi katika scale yetu ya ulimwengu, si lazima iwe hivyo katika scales zote za ulimwengu.
Katika quantum realm maswali yako yote yanakosa maana.
So, can we look at the universe as a whole, and not just operate with anthropic bias? Can we look at tge equations too, not just look at the human experience?
Halafu kwa nini unafikiri dhana ya eternal ni misleading? Unaweza kuthibitisha kuwa dhana ya eternal ni misleading?
Mini ni atheist sipo katika mawazo ya imani.Nashukuru sana ndugu umekuja. Kusema eternity nilitaka kuzuia mawazo ya kiimani maana I wanted this to be a purely scientific debate. Let's go on.
Nimekuelewa vizuri. Zipo nadharia pia za blackholes ambapo time either doesn't count. HOW WAS TIME CREATED?Hapakuwa na Kabla, Kabla muda haujaumbwa, Yaani neno kabla maana yake linahusisha muda, hivyo unaposema kabla muda haujaumbwa (before singularity) inakuwa haina maana. Ni sawa na kuuliza North of North Pole
Well explained 👏Kwanza kabisa, maswali kama "where" "from" ni maswali yanayohusiana na causality, time, space, na mambo haya yanahitajika kufikiriwa upya nankwa undani zaidi.
Mambo kama quantum physics yanaweza kutuongoza.
Katika quantum physics, kwa kadiri tunavyoelewa mpaka sasa, kuna vitu kama virtual particles huwa vinatokea tu. From nowhere. Vina pop up tu kwenye spacetime. From the very fabric of spacetime.
Sasa hapo ukitafuta where did these virtual particles come from, utakuwa unatumia mental model ya classical physics katika quantum physics.
Logical non sequitur fallacy.
Yani kwa sababu unaona causality inafanya kazi katika scale yetu ya ulimwengu, si lazima iwe hivyo katika scales zote za ulimwengu.
Katika quantum realm maswali yako yote yanakosa maana.
So, can we look at the universe as a whole, and not just operate with anthropic bias? Can we look at tge equations too, not just look at the human experience?
Halafu kwa nini unafikiri dhana ya eternal ni misleading? Unaweza kuthibitisha kuwa dhana ya eternal ni misleading?
Kwa nini unaona ni lazima ianzie sehemu?Hilo ndilo jibu linalotakiwa kutafutwa. Hiyo Cycle imeanzia wapi? And who/ what started it??
Ukiona unatumia nguvu kubwa kuelewesha watu na kuelewa ujue hata wewe hujui kitu chochote zaidi ya kukariri, hii kitu mbona ina simple explanation.Naomba wale wenye uelewa tujadili. When time (t) was t=0, and space and matter were not existing, hiyo singularity point ilitokea wapi mpaka kuleta Big Bang iliyoumba ulimwengu? Is it just a mathematical way of explaining things that have baffled human minds? Will our minds ever grasp the mystery behind what we call "existence"?
Kweli kutokana na karshalav scale ( jina naweza kuwa sijaandika vizuri) inayohusu development ya civilization na kadri tunavyozidi ku advance ndio tunakuwa na uwezo mkubwa zaadi ukijumuisha na Quantum computer, hivyo kuna uwezakano sisi wenyewe ndio tumetengeneza/tutatengeneza ulimwenguKwa nini unaona ni lazima ianzie sehemu?
Unafahamu dhana ya quantum loop causality ambayo inakuwa ni cycle ya A is causing B but B is also causing A and between A and B you cannot say which comes first?
Singularity haikutokea popote , yenyewe ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na muda na nafasi, hivyo bila singularity hakukua na mahali wa muda .
Kwa hiyo kuuliza ilitokea wapi maana yake hakuta kuwa na maana kwa sababu nadharia imekataa uwepo wa mahali na muda kabla ya singularity.
Primordial singularity inasema ni point moja ambapo all matter,space , energy and time was compressed in a tiny point. Lakini haisemi hizo components zilitokea vipi.
Causality principleYani unaweza vipi kujenga hoja ya kisayansi kuonesha kuwa ulimwengu haiwezekani uwe umekuwapo tu bila ya kuwa na mwanzo?
Hichi ni moja kati ya vitendawili vikubwa ambavyo havijang'amuliwa katika fizikia, hadi leo tasnia ya sayansi haina nadharia inayotoa ubainifu wenye hoja timilifu (logic) zenye kukifu, nadharia e.g. string theory & quantum loop zinapelea maarifa na mnyumbuliko wa hojaMy genuine inquiry is: How did the universe evolve? If a tiny QUANTUM SINGULARITY contained all the properties of our universe, three space dimensions and a time dimension, how did these properties emerge?
Sure, ni infinite regress fallacy, hapa ndipo wanatheolojia na wanafalsafa walipojenga premises ya nesessary being (first uncaused cause e.g. GOD) na contingencyUkiuliza imetoka wapi? Ukipata jibu ,utaulizia pia hilo jibu kuwa imetoka wapi to infinity, ila kwa binafsi yangu naona kila kitu kipo kwenye cycle tu🤔
Kwanza kabisa huo ni uelewa finyu wa fizikia.Causality principle
Hii ni moja ya kanuni kuu iliyotamalaki katika sayansi ya fizikia, baiolojia na kemia kuwa "kila tokeo/tukio lina kichocheo/kisababishi"