Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #2,621
Wewe unajua km ngapi zimejengwa SGR phase 2A?we kubali tu ya kwamba serikali yenu imewafumba macho. reli yenu yenyewe hamjui imefikia kilo mita ngapi...
na hakuna mtanzania yeyote atakayeweza kujuwa updates za rel
i yenu ya kuwa imefika km ngapi...na hatotokea..jiwe tu ndio anayejua...
Wewe hujawaelewa, tatizo ni bundles za internet. Kama chakula tabu itakua vocha!!
Wewe unajua km ngapi zimejengwa SGR phase 2A?
Mimi Niko na unlimited internet na download vitu Kwa 8 - 10 Mbs/sec na hua siangalii hizo video... Ukishaeka video moja ni kama ushaangalia zote manake zote zinafanana, wambieni TRC wawe wanachukua picha pia manake picha hua zinaonshesha kitu specific at a moment in time ...Wewe hujawaelewa, tatizo ni bundles za internet. Kama chakula tabu itakua vocha!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Geuzwa udungwe.Mungiki wakiparangana bila kujua!
unavituko ushamba umekujaa,,,,mzee wa unlimited[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi Niko na unlimited internet na download vitu Kwa 8 - 10 Mbs/sec na hua siangalii hizo video... Ukishaeka video moja ni kama ushaangalia zote manake zote zinafanana, wambieni TRC wawe wanachukua picha pia manake picha hua zinaonshesha kitu specific at a moment in time ...
Oooh Jibebe... X 3Mimi Niko na unlimited internet na download vitu Kwa 8 - 10 Mbs/sec na hua siangalii hizo video... Ukishaeka video moja ni kama ushaangalia zote manake zote zinafanana, wambieni TRC wawe wanachukua picha pia manake picha hua zinaonshesha kitu specific at a moment in time ...
In tanzania sgr this will be done by the train when movingUltrasonic scanning - Mombasa-Nairobi during regular sceduled maintenance
Good that u explain that to them! Till now they can't tell their design is outdated! Signaling system can report of any misalignment direct to the main centre or a driver of a locomotive on motion without a need for one to do physical like the excercise they do on the foot!In tanzania sgr this will be done by the train when moving
bwahaaa..na kutandaza reli kw mkono na stesheni za wakoloni...ndio kuwa updated...Good that u explain that to them! Till now they can't tell their design is outdated! Signaling system can report of any misalignment direct to the main centre or a driver of a locomotive on motion without a need for one to do physical like the excercise they do on the foot!
mko na bullet train hewa na vibanda vya mama nitilie..ila nskia kwenu mnaviita bullet sgr stations...the best in africa
Weka picha ya SGR trains yoyote duniani inafanana na ya ke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mko na bullet train hewa na vibanda vya mama nitilie..ila nskia kwenu mnaviita bullet sgr stations...the best in africa
weka sgr stations zozote duniani za karne hii km zitafanana na hvo vibanda vyenuWeka picha ya SGR trains yoyote duniani inafanana na ya ke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
sgr dume hilo...linabeba mizigo juu chini(double stack)...bwahahaaaa ..Hio ni locomotive china walitumia kubeba coals kutoka mines zao kupeleka kwa viwanda
Sent using Jamii Forums mobile app