Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

we kubali tu ya kwamba serikali yenu imewafumba macho. reli yenu yenyewe hamjui imefikia kilo mita ngapi...

na hakuna mtanzania yeyote atakayeweza kujuwa updates za rel
i yenu ya kuwa imefika km ngapi...na hatotokea..jiwe tu ndio anayejua...
Wewe unajua km ngapi zimejengwa SGR phase 2A?
 
heheheeee....utaumia sana....huez jibu hilo swali ya kwamba reli yenu imefikia km ngapi...anyway endeleeni kusinzia tu..

mturuki atawanyorlsha hadi mbaki mumezubaa
 
Wewe hujawaelewa, tatizo ni bundles za internet. Kama chakula tabu itakua vocha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Niko na unlimited internet na download vitu Kwa 8 - 10 Mbs/sec na hua siangalii hizo video... Ukishaeka video moja ni kama ushaangalia zote manake zote zinafanana, wambieni TRC wawe wanachukua picha pia manake picha hua zinaonshesha kitu specific at a moment in time ...
 
unavituko ushamba umekujaa,,,,mzee wa unlimited[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Niko na unlimited internet na download vitu Kwa 8 - 10 Mbs/sec na hua siangalii hizo video... Ukishaeka video moja ni kama ushaangalia zote manake zote zinafanana, wambieni TRC wawe wanachukua picha pia manake picha hua zinaonshesha kitu specific at a moment in time ...
Oooh Jibebe... X 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ultrasonic scanning - Mombasa-Nairobi during regular sceduled maintenance

RAC3dw8.jpg

WshNCIR.jpg
In tanzania sgr this will be done by the train when moving
 
Good that u explain that to them! Till now they can't tell their design is outdated! Signaling system can report of any misalignment direct to the main centre or a driver of a locomotive on motion without a need for one to do physical like the excercise they do on the foot!
 
bwahaaa..na kutandaza reli kw mkono na stesheni za wakoloni...ndio kuwa updated...
 
Back
Top Bottom