Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

wacha upumbavu! Dar port is way connected to SADC than even to Uganda less than 10% of Ugandan cargo uses central corridor! As a matter of fact u should be worried since the pipeline will take away cargo from northern corridor!
The pipeline is for crude oil, Something that Uganda has never exported b4, kwahivyo the pipeline will not take away any cargo business from the Northern corridor, The northern corridor will only miss a new business opportunity to add extra cargo to its route..
 
mind u a new oil terminal at Chongoleani whole dedicated for Ugandan cargo! Dreading is almost done while new terminal is also U/C!

 
Keep giving urself hopes ati Dar capacity will be limited at 28 mln tones! As if no other phases for expansion!
Kulikuwa na phase kabla ya 2015..imewekwa on hold .ilikuwa ya kujenga Berth Mpya 3 container terminals at a cost of 600 mil Usd by that time...

So mpka feasibility ilifanyika that means kuna nafasi ya berth 3 mpya ..in case tukiplan kujenga berth 14,15 and 16

Waliweka on hold wafanyie upanuzi hizi berth zilzipo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa ukisoma comments zake unaona kabsa ana wivu.. na unamuuma kweli!
hahahaha,unajua mtu ambaye hua ni wakwanza kuita mwenzake mnafik, mwenye wivu, Mchoyo, au mbea/mdaku... Hua 99% of the time utakuta hua hizo ndo hisia zake lakini anajaribu kujitia moyo kwa kumshtaki mtu mwengine kwamba yeye ndo ako na hizo hisia..
Utakuta jamaa mmeketi naye alafu jirani akipita, jamaa anaanza za "yule jirani ni mbea sana, juzi nilimuona akiambia flani kwamba flani ni mgonjwa...blah blah" ... huyo jamaa hajioni kwamba yeye ndo mmbea number 1 kazi yake kuongelea watu wengine kila anapokwenda.



Hapa nilipo maoni yangu ni kwamba Tz iko nyuma kwa mambo mengi sana, kwahiivyo bado sijawahi ona kitu ambacho kinaweza nifanya niwe na wivu na Tanzania kabisa ...... Nchi ambayo huwa Naionea wivu hapa EAC ni Rwanda manake kuna vitu kadhaa hua napenda kuviona hapa Kenya lakini unakuta Rwanda ndo ishavifanya... Lakini hakuna lolote la Tanzania lishawahi kunifanya nitamani chochote....
 
Bado za Kiboya tu Magu waafrica wenzetu wanatuzingua bora we ufanye kweli treni gani bado kwa level za Nigeria [emoji1184] wangefanya kama Morrocco aisee


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
ila bora kuliko za Kunyaland, SGR Kunyaland haina EMU!
 


MY TAKE
Arusha-Musoma on Lake Victoria next...
 
Huwa zinajengwa tu sijawahi sikia zimekamilika.
 
hiv mshawah kufanya uchunguzi kuwa watu wanaandikaga texts au comments ndefu in reality huwa wanakuaje???

nimegundua wengi sana huwa wanyonge sana wanapokuwa in social interaction .. au wanashida ya kuongea in social interactions, so they use texting to interact with people ..

just saying randomly .. kuna watu watacatch feelings angawa hata hawajatwajwa
 
Basi wala usisumbuke sn mana hyo Rwanda kwetu ni km mkoa tu so hawana kazi kubwa km iliyonayo The Giant Tz
 
jamaa ukisoma comments zake unaona kabsa ana wivu.. na unamuuma kweli!
Mimi nimeshaacha kujibizana naye naona napoteza muda tu.
Ni Wale watu ukimwambia 2x2=4 anakubishia anakuambia ni 2 eti tu kwa sababu 1x1=1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…