Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Maisha ya mrwanda ni mazuri kushinda maisha ya Mtanzania katika kila sector licha ya hao kua na GDP/capita ndogo, hio point ndo ilikua muhimu, we keti hapo ukiendelea kuuliza habari za mikoa.

Na nilitumia per capita ya 2017 kwasababu hiuo ndo mwaka ambao google ilinipatia kwahivyo peleka fikra zako za wivu chooni!



 
Vp maisha ya mtanzania uki compare na maisha ya mkenya japo kuna tofauti ya GDP tuanzie hapo mkuu
 
Na hapa pia ni vzr ukatupa credible source
 
Vp maisha ya mtanzania uki compare na maisha ya mkenya japo kuna tofauti ya GDP tuanzie hapo mkuu
Hii story ilianza pale niliposema hua natamani Kenya iwe kama Rwanda kwa nyanja flani flani... Wewe ukasema Rwanda ni kama mkoa huko kwenu, mimi nikakwambia Rwanda inawashinda kwa mambo mengi licha ya hao kua na uchumi mdogo kulingana na wananchi....
Sasa wewe unataka kugeuza hii story iwe Kenya VS TZ !!! SMH!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…