Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

ESIA848WoAAr6Iu

ESIA85GXsAMbX8G

ESIA85VWAAAFu-Z

ESIA8-nWoAIMecw

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
 
Ss ngj utusaidie kitu, toa Kigali natoa Dar haya taja mikoa mitano ya Rwanda na mm nitaje mikoa mitano ya Tz ishindane [emoji3][emoji3] yn aibu ata kuendelea na battle hii... by the way chuki zako nmeziona ulipoanza kudanganya per capita income ya Tz eti 900(kwnn utaje ya 2017 wkt mpya ipo) hehehehee wivu mbaya sn jamenii.

Rwanda iogopeni nyie cc kwetu mkoa tu[emoji3][emoji3]
Maisha ya mrwanda ni mazuri kushinda maisha ya Mtanzania katika kila sector licha ya hao kua na GDP/capita ndogo, hio point ndo ilikua muhimu, we keti hapo ukiendelea kuuliza habari za mikoa.

Na nilitumia per capita ya 2017 kwasababu hiuo ndo mwaka ambao google ilinipatia kwahivyo peleka fikra zako za wivu chooni!

1583240415234.png

1583240530764.png
 
Maisha ya mrwanda ni mazuri kushinda maisha ya Mtanzania katika kila sector licha ya hao kua na GDP/capita ndogo, hio point ndo ilikua muhimu, we keti hapo ukiendelea kuuliza habari za mikoa.

Na nilitumia per capita ya 2017 kwasababu hiuo ndo mwaka ambao google ilinipatia kwahivyo peleka fikra zako za wivu chooni!

View attachment 1375510

View attachment 1375513
Vp maisha ya mtanzania uki compare na maisha ya mkenya japo kuna tofauti ya GDP tuanzie hapo mkuu
 
Na hapa pia ni vzr ukatupa credible source
 
Vp maisha ya mtanzania uki compare na maisha ya mkenya japo kuna tofauti ya GDP tuanzie hapo mkuu
Hii story ilianza pale niliposema hua natamani Kenya iwe kama Rwanda kwa nyanja flani flani... Wewe ukasema Rwanda ni kama mkoa huko kwenu, mimi nikakwambia Rwanda inawashinda kwa mambo mengi licha ya hao kua na uchumi mdogo kulingana na wananchi....
Sasa wewe unataka kugeuza hii story iwe Kenya VS TZ !!! SMH!!!
 
Back
Top Bottom