Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #6,141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teargass Nicxie Zigi Rizla mwaswast komora096 EngineerLevin Devin Kafrican mnakwama wapi...Hongera wadau
Maisha ya mrwanda ni mazuri kushinda maisha ya Mtanzania katika kila sector licha ya hao kua na GDP/capita ndogo, hio point ndo ilikua muhimu, we keti hapo ukiendelea kuuliza habari za mikoa.Ss ngj utusaidie kitu, toa Kigali natoa Dar haya taja mikoa mitano ya Rwanda na mm nitaje mikoa mitano ya Tz ishindane [emoji3][emoji3] yn aibu ata kuendelea na battle hii... by the way chuki zako nmeziona ulipoanza kudanganya per capita income ya Tz eti 900(kwnn utaje ya 2017 wkt mpya ipo) hehehehee wivu mbaya sn jamenii.
Rwanda iogopeni nyie cc kwetu mkoa tu[emoji3][emoji3]
Vp maisha ya mtanzania uki compare na maisha ya mkenya japo kuna tofauti ya GDP tuanzie hapo mkuuMaisha ya mrwanda ni mazuri kushinda maisha ya Mtanzania katika kila sector licha ya hao kua na GDP/capita ndogo, hio point ndo ilikua muhimu, we keti hapo ukiendelea kuuliza habari za mikoa.
Na nilitumia per capita ya 2017 kwasababu hiuo ndo mwaka ambao google ilinipatia kwahivyo peleka fikra zako za wivu chooni!
View attachment 1375510
View attachment 1375513
Na hapa pia ni vzr ukatupa credible sourceMaisha ya mrwanda ni mazuri kushinda maisha ya Mtanzania katika kila sector licha ya hao kua na GDP/capita ndogo, hio point ndo ilikua muhimu, we keti hapo ukiendelea kuuliza habari za mikoa.
Na nilitumia per capita ya 2017 kwasababu hiuo ndo mwaka ambao google ilinipatia kwahivyo peleka fikra zako za wivu chooni!
View attachment 1375510
View attachment 1375513
Hii story ilianza pale niliposema hua natamani Kenya iwe kama Rwanda kwa nyanja flani flani... Wewe ukasema Rwanda ni kama mkoa huko kwenu, mimi nikakwambia Rwanda inawashinda kwa mambo mengi licha ya hao kua na uchumi mdogo kulingana na wananchi....Vp maisha ya mtanzania uki compare na maisha ya mkenya japo kuna tofauti ya GDP tuanzie hapo mkuu
wacha ufala wa kbishabisha at 15000 sq m Nairobi Terminus is way smaller to Dar bus terminal at over 50,000 sq m!Bigger than
![]()