Nani kasema tunataka kujenga network yote ya sgr?
Noted, na sitoendelea debating nayesikuzote mtu anakuwa yuko sahihi kwa anavyofikiria yeye. si kwamba anakuwa sahihi kwa hali halis ilivyo, akili yake inasema hatuwez kujenga saiz mpka miaka 50 ijayo.. hata mtoto wa darasa la kwanza anajua moja kutoa mbili haiwezekan!
Nimeshakupuuza mkuuIli SGR iwe na tija haina budi kufika nchi jirani ili kuongeza wingi wa mizigo.
Tungejitahidi kukuza uchumi wetu na kuongeza ukusanyaji kodi. Tukiwa na uchumi imara na kipato cha kutosha tunaweza kupata mkopo nafuu wa kujenga network yote ya SGR.
Nimeshakupuuza mkuu
Upinzani sio vyama, Upinzani ni matendo.Linganisha productivity ya wazungu na yetu. Halafu mimi siabudu wazungu wala sipo upinzani, ni mtu anayeitakia mema nchi yake.
Kumbe na wewe huna akili sioZainabu umepaniki sio?Dunia ya leo ni watu Wapuuzi pekee ndio wanaweza nunua treni za mwaka 1920 kwenye SGR wanaijenga kwa $ 3+Billions
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hko ndio kupigwa haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaa!!yani wameekeza tofali halafu mwisho wanaweka urembo wa vioo tuKibajaji cha vioo
Sent from my iPad using JamiiForums
Km hyo ndio first heri ikaeFuturistic building glass n steel! First in East and Central Africa!
Kupigwa? Kwani tumekuwa-charged $3.8 bln kama SGR Kunyaland?Yani hko ndio kupigwa haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Minus mabehewa, vichwa na chuo pia juuKupigwa? Kwani tumekuwa-charged $3.8 bln kama SGR Kunyaland?
Ss kupigwa vp wkt huo ndiyo uwezo wetu, na ndiyo maana hata sgr yenu ina gharama kubwa kuliko yetu japokuwa yenu co ya umeme, ni kwasababu cc hatuna uwezo wa kununua vitu low quality kwa gharama kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]Yani hko ndio kupigwa haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
at $1.2 bln stil its less than 1/3 of what Kunyaland paid! unless u can prove to me those mitungi ya chang'aa costed $2.6 bln, u r a fool! BTW which chuo? did Chinese build a college for Railway in Kunyaland? Or u mean sending Kunyans for training in China? see below what a cool bill of $1.2 bln can do 👇
Point zako ni nzuri sana nadhani hatuna plan nzuri jinsi SGR itavyorudisha investement and i think tumeifanya ahead of our time..tho kama inajengwa na itakuepo..watu kusafir kwa haraka na mizigo ni faida sana kwa uchumi na kama inatumia umeme wa kutosha amabao ni nafuu tuna haja gani ya kuhofu kama itaweza rudisha gharama za kujiendesha hata kama sio profitable?Nchi inakusanya kodi ya kutosha na kuwa na kipato cha kueleweka. Kinyume na hapo tunabebesha nchi zetu madeni yasiyolipika.
Why MGR and TAZARA failed? I'm realistic, not pessimistic.
Tunajidanya wenyewe kama tunaamini kuwa tunaweza kujenga km 2000 za SGR.
We're not economically capable of doing that project. We just keep on borrowing huge amount of money that we cannot afford to pay back .
Yes hapa ni sawa..na kingine..inabidi tujenge viwanda vya kutosha humu kati kati ya route ya SGR ili tuwe na mizigo ya kutosha bila kutegemea sana hata nchi za njeIli SGR iwe na tija haina budi kufika nchi jirani ili kuongeza wingi wa mizigo.
Tungejitahidi kukuza uchumi wetu na kuongeza ukusanyaji kodi. Tukiwa na uchumi imara na kipato cha kutosha tunaweza kupata mkopo nafuu wa kujenga network yote ya SGR.
Lkn mnauwezo wa kujenga vitu high quality kw kutumia low quality materials[emoji23][emoji23][emoji23]Ss kupigwa vp wkt huo ndiyo uwezo wetu, na ndiyo maana hata sgr yenu ina gharama kubwa kuliko yetu japokuwa yenu co ya umeme, ni kwasababu cc hatuna uwezo wa kununua vitu low quality kwa gharama kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
how can vitu high quality have low quality materials? English ilienda Othaya?Lkn mnauwezo wa kujenga vitu high quality kw kutumia low quality materials[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nmeshangaa eti high quality products with low quality materials [emoji3][emoji3][emoji382][emoji382]how can vitu high quality have low quality materials? English ilienda Othaya?
Lkn mnauwezo wa kujenga vitu high quality kw kutumia low quality materials[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Point zako ni nzuri sana nadhani hatuna plan nzuri jinsi SGR itavyorudisha investement and i think tumeifanya ahead of our time..tho kama inajengwa na itakuepo..watu kusafir kwa haraka na mizigo ni faida sana kwa uchumi na kama inatumia umeme wa kutosha amabao ni nafuu tuna haja gani ya kuhofu kama itaweza rudisha gharama za kujiendesha hata kama sio profitable?
Lets say juzi nimesafir na bus to mwanza ni masaa 18 imagine reducing those to 10hrs ..i could have used my extra 8hrs kwenda shambani au dukani au hotelin...
Barabara zinaharibika kila kukicha cause ya uzito wa magari
Ni kweli ilibidi tuwe na plan nzuri ya kuifanya SGR iwe profitable which we dont thts the only postive i can take .
But hela nahakika zipo..kwann tumenunua dreamliner instead of kuwekeza hizo pesa kwenye reli ?? Return za 787s sio leo wala kesho
2.Nmeona nikuulize hili swali cause umeweka dp ya Air Tanzania..do you think it was important kutumia 1trillion kununua 787s mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app