My friend, ili huo uchumi ukue lazima kuwekeza kwenye miundombinu kama hii ili kuuchochoea. Hauwezi kukaa tu eti usubiri ukue.
Pia lengo la SGR siyo tu kuwasafirishia hao majirani mizigo bali pia kuwarahisishia wazalishaji wetu namna ya kupeleka bidhaa zao kwenye hizo nchi.
Hivi unayo hata idea moja ya uchumi kweli wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie watu elimu yenu ya uchumi mnaitoaga wapi? Umenichekesha kweli. Yaani MNHEP isubiri SGR ikamilike ndiyo ijengwe! Na hapo umeme uliopo hautoshi na siyo reliable! Sasa hizo treni zitakuwaje na ufanisi ikiwa ujenzi wa reli zake hauendi sambamba na miradi ya umeme?Makosa makubwa yamefanyika kutaka kufanya miradi mingi mikubwa kwa mkupuo wakati pesa hazitoshi.
Matokeo ya kutawanya pesa hivyo ni kwamba unakuwa na miradi mingi isiyokamilika. Miradi isiyokamilika haizalishi chochote kama tunavyojionea hali ilivyo.
Hata daraja la Kigongo-Busisi, Stiegler's gorge n.k vingeweza kusubiri mtandao wa SGR ukamilike kwa asilimia kubwa.
Tunajipa moyo kuwa deni ni himilivu wakati kodi tunayokusanya ni kiduchu.
Kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa "intuition". Bila hiyo urasimu peke yake huwa unakwamisha mambo. Kama unaifahamu vema mpanda, unaweza kuniambia ni kwa nini hapakuwa na flights za ATCL?Air Tanzania naunga mkono ili mradi JPM aache kuleta Siasa kwenye uendeshaji wake. ATCL itakuwa na mchango mkubwa kiuchumi hasa ikiongeza safari nyingi za kimataifa.
Mfano, bila ya kufanya utafiti wowote JPM alipokuwa Katavi akaropoka Air Tanzania ianze kwenda Mpanda. Mtindo huu ni jeneza kwa ATCL.
Umeangukia pua jomba, siku ukipata hzo new model unitagHapana hizi ndo new models
Bado nasubiria electric trains new model[emoji23][emoji23][emoji23]Chinese first class [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa nimekupata vema mkuu. Yaani unafahamu kuwa SGR Dar-Moro haina pesa. Pia unafahamu kuwa JK ndiye aliyetekeleza expansion ya births 0, na 1-7. Tatizo hujaniambia kuwa unafahamu kikubwa kilichofanywa awamu zilizopita ni kuendesha bandari bila flow meters wala scanners. Pia hujaniambia kuwa kikubwa alichofanya JK bandarini ni kuzalisha kashfa ya births 13 na 14 zilizomng'oa mpaka waziri!Port expansion na MGR rehabilitation ni miradi ya Jakaya. Jakaya ndiye aliyefanya plan hadi kutafuta pesa kwa ajili ya miradi hiyo.
SGR Dar Moro imesuasua sababu ya ukosefu wa pesa, siyo mvua kama wanavyodanganya.
Bajeti zote za JPM ni hewa maana hazitekelezwi kwa hiyo hamna mantiki ya kuzijadili hapa.
Ndoto zetu zisizidi uwezo, mwisho wa miradi mikubwa isiyo na mpangilio ni kuchukua mikopo isiyolipika.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi nyie watu elimu yenu ya uchumi mnaitoaga wapi? Umenichekesha kweli. Yaani MNHEP isubiri SGR ikamilike ndiyo ijengwe! Na hapo umeme uliopo hautoshi na siyo reliable! Sasa hizo treni zitakuwaje na ufanisi ikiwa ujenzi wa reli zake hauendi sambamba na miradi ya umeme?
Tatizo jingine ni kuwa mfumo wetu wa elimu umejaa masomo na maada zisizo na tija sana na kupuuza yale yanayohitajika. Mfano, somo kama DS vyuo vikuu huishia kufundisha mambo ya class struggle na upuuzi mwingine.
That way unapata wasomi wasiojua namna jamii yao inapaswa kuendelea.
Everything must go.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie watu elimu yenu ya uchumi mnaitoaga wapi? Umenichekesha kweli. Yaani MNHEP isubiri SGR ikamilike ndiyo ijengwe! Na hapo umeme uliopo hautoshi na siyo reliable! Sasa hizo treni zitakuwaje na ufanisi ikiwa ujenzi wa reli zake hauendi sambamba na miradi ya umeme?
Tatizo jingine ni kuwa mfumo wetu wa elimu umejaa masomo na maada zisizo na tija sana na kupuuza yale yanayohitajika. Mfano, somo kama DS vyuo vikuu huishia kufundisha mambo ya class struggle na upuuzi mwingine.
That way unapata wasomi wasiojua namna jamii yao inapaswa kuendelea.
Everything must go.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimekupata vema mkuu. Yaani unafahamu kuwa SGR Dar-Moro haina pesa. Pia unafahamu kuwa JK ndiye aliyetekeleza expansion ya births 0, na 1-7. Tatizo hujaniambia kuwa unafahamu kikubwa kilichofanywa awamu zilizopita ni kuendesha bandari bila flow meters wala scanners. Pia hujaniambia kuwa kikubwa alichofanya JK bandarini ni kuzalisha kashfa ya births 13 na 14 zilizomng'oa mpaka waziri!
Sasa nimekupuuza rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa "intuition". Bila hiyo urasimu peke yake huwa unakwamisha mambo. Kama unaifahamu vema mpanda, unaweza kuniambia ni kwa nini hapakuwa na flights za ATCL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Analysts wengi wa mitandaoni comment zao zinaleta uvivu hata kuzisoma. ATCL ilikuwa na plana sahihi kabisa hivyo wakachagua the most efficient fleet kwa kila category ya air routes ambazo kila moja ina umuhimu wake;wajuaji wengi as if mlifanya market research! Wabongo wajuaji mpaka mna-bore! So mnajua kuliko wakina Matindi waliokuja na expansion plan? Nani alitegemea kuwa mwaka 2020 kutakuwa na Corona China! Na wale watalii waliokuwa wamepata kuanzia nao route? wacheni upumbavu wa kuwa warahisi kulalamika na kutia ufundi wa kutoka vijiweni!
Kwa abiria wa Mpanda-Dar ni more economic kupanda ndege kuliko gari (mfanyabiashara). Hivyo ukiona mtu anaponda ruti hiyo ambayo tayari ina kiwanja kizuri kabisa ujue ana ufahamu finyu kwenye hayo masuala. Pia JPM atakuwa aliona utoto wa wasaidizi wake unamkwamisha. Yaani eti route ilikuwa inakwamishwa na ukosefu wa magari ya zima moto! Kama vile yanatengenezwa sayari nyingine.Unless uniambie ndege inaenda tupu tena na evidence! Huwezi kuniambia one or three times flights a week tena kwa dash inaleta hasara kuna wanunuzi wengi wa nafaka upande ule!
wanunuzi wote wa nafaka wa Afrika Mashariki wanaijua Mpanda (Katavi)! Nangoja ukarabati wa viwanja vya Mtwara na Songea ukamilike, Air Tanzania irudi zile route pia!Kwa abiria wa Mpanda-Dar ni more economic kupanda ndege kuliko gari (mfanyabiashara). Hivyo ukiona mtu anaponda ruti hiyo ambayo tayari ina kiwanja kizuri kabisa ujue ana ufahamu finyu kwenye hayo masuala. Pia JPM atakuwa aliona utoto wa wasaidizi wake unamkwamisha. Yaani eti route ilikuwa inakwamishwa na ukosefu wa magari ya zima moto! Kama vile yanatengenezwa sayari nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa wa ajabu kweli. Anakwambia miradi imeishia hewani. Ukimwambia akutajie mmoja ulioishia hewani hataji. Mm nafikiri aachwe tuu na weupe wake ku-mkichwa.Shule yako vp mshikaji? Acha kujiaibisha pitia budget uone miradi yote hutengwa fedha! Na isiyotengwa huanzishwa pale tu tunapopata mkopo!
Bado utashangaa hajaelewa.Umeona ulivyo na tatizo, unachofikiri reli kuwa ya umeme ni speed tu, ngoja nikupe somo kidogo:
Ukitumia Reli ya umeme (Stima) inapelekea kupunguza matumizi ya Diseli ambayo unaagiza kutoka nje ya nchi kwa fedha za kigeni na badala yake unatumia umeme unaozalishwa ndani kwa vyanzo vyenu na hivyo kupelekea kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya nchi na sio kutoa hizo peza kwenda nchi za nje kwa ajili ya diseli.
reli ya umeme (stima) inalinda mazingira, kutumia reli ya diseli inapelekea kuzalisha greenhouse gases ambazo zinaenda either kusababisha ozone layer depletion au kusababisha ongezeko la joto duniani ndo maana ujenzi wa reli ya diseli haitakiwi kwenye karne ambayo dunia inapambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kupelekea nchi zilizoendelea kuanza kutumia teknolojia zinazotumia umeme (stima) kama magari na mitambo mengine na sio mafuta. Hivyo dunia inaenda mbele nyie wakenya mnairudisha nyuma mwisho wa siku mtabaki peke yenu nyuma.
Mafuta yanakwisha, hivyo kama mumejenga reli ya diseli na siku mafuta yakafiga omega ina maana nyinyi mtasimama wapi maana hilo deni la mchina itachukua miaka mingi kulimaliza. Ila mngetumia umeme (stima) basi mambo yangekuwa poa maana maji lazima yawepo or upepo au chochote kile maana umeme (stima) una vyanzo vingi tofauti na hiyo diseli yenu.
Reli ya umeme (stima) ina mvuto wa kipekee ambao unaleta faida kwa watalii, pia inapendezesha mji au nchi na kuipandisha hadhi na sio diseli ambayo mlioweka nyinyi.
Gharama za uendeshaji wa Reli ya Diseli ni kubwa maana bei tu ya ayo mafuta haupangi wewe bali wanapanga wengine hivyo siku diseli ikipanda basi mnaanza kuangaika na kuwaumiza wananchi kwa kupandisha bei ili msipate hasara wakati reli ya umeme (stima) ni nyinyi nchi kama nchi ndo mnafanya maamuzi.
Reli ya umeme (stima) iko more automated kuliko ya diseli, kuna systems nyingi sana za safety (usalama) ambazo zinafanya kazi kwenye reli za umeme (stima) tu kama vile kuzima treni kutokea headquarters endapo ikionekana inahatarisha usalama wa abiria kama vile mwendokasi mkubwa. Mtu wa headquarter anabonyeza kitufe uku mzigo unazima.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa. Pamoja na weakness zake (democracy & good governance), Magu ni game changer na kimsingi nchi yetu inamuhitaji sasa kuliko kipindi kingine. Tulihitaji kiongozi mwenye maono na misimamo thabiti kuelekea hayo maono.Na huu ndio ukweli, ss leo Magu anakuja kubadili fikra za muafrika lkn bdo ukoloni unatusumbua, ila cna shaka na Magu cz amepewa moyo mgumu sn atapambana kubadili fikra mpk kitaeleweka tu, unajua baada ya hii covid-19 kupamba moto nmekuja kugundua Afrika inadharaulika kwa kiasi ambacho hakina kipimo, hvyo ni muda muafaka ss kwa waafrika kuwaonesha hao washenzi kwamba hata Afrika iliwahi kutawala dunia kupitia Egypty na tunaweza kuirudisha ile zama kupitia taifa lingine la Afrika km tutakuwa na fikra chanya.
1998 model,Hapana hizi ndo new models
No way....! That's 1960s model!1998 model,
Mmebaki mkiropokwa kama wamama wa plot,
Wanaume wazima ni mshene tu