Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

My friend, ili huo uchumi ukue lazima kuwekeza kwenye miundombinu kama hii ili kuuchochoea. Hauwezi kukaa tu eti usubiri ukue.

Pia lengo la SGR siyo tu kuwasafirishia hao majirani mizigo bali pia kuwarahisishia wazalishaji wetu namna ya kupeleka bidhaa zao kwenye hizo nchi.

Hivi unayo hata idea moja ya uchumi kweli wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nini MGR na TAZARA hazikukuza uchumi? Jibu swali hili kwanza.
 
Makosa makubwa yamefanyika kutaka kufanya miradi mingi mikubwa kwa mkupuo wakati pesa hazitoshi.

Matokeo ya kutawanya pesa hivyo ni kwamba unakuwa na miradi mingi isiyokamilika. Miradi isiyokamilika haizalishi chochote kama tunavyojionea hali ilivyo.

Hata daraja la Kigongo-Busisi, Stiegler's gorge n.k vingeweza kusubiri mtandao wa SGR ukamilike kwa asilimia kubwa.

Tunajipa moyo kuwa deni ni himilivu wakati kodi tunayokusanya ni kiduchu.
Hivi nyie watu elimu yenu ya uchumi mnaitoaga wapi? Umenichekesha kweli. Yaani MNHEP isubiri SGR ikamilike ndiyo ijengwe! Na hapo umeme uliopo hautoshi na siyo reliable! Sasa hizo treni zitakuwaje na ufanisi ikiwa ujenzi wa reli zake hauendi sambamba na miradi ya umeme?

Tatizo jingine ni kuwa mfumo wetu wa elimu umejaa masomo na maada zisizo na tija sana na kupuuza yale yanayohitajika. Mfano, somo kama DS vyuo vikuu huishia kufundisha mambo ya class struggle na upuuzi mwingine.

That way unapata wasomi wasiojua namna jamii yao inapaswa kuendelea.

Everything must go.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Air Tanzania naunga mkono ili mradi JPM aache kuleta Siasa kwenye uendeshaji wake. ATCL itakuwa na mchango mkubwa kiuchumi hasa ikiongeza safari nyingi za kimataifa.
Mfano, bila ya kufanya utafiti wowote JPM alipokuwa Katavi akaropoka Air Tanzania ianze kwenda Mpanda. Mtindo huu ni jeneza kwa ATCL.
Kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa "intuition". Bila hiyo urasimu peke yake huwa unakwamisha mambo. Kama unaifahamu vema mpanda, unaweza kuniambia ni kwa nini hapakuwa na flights za ATCL?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hizi ndo new models

kenya-freight-locos.jpg
Umeangukia pua jomba, siku ukipata hzo new model unitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Port expansion na MGR rehabilitation ni miradi ya Jakaya. Jakaya ndiye aliyefanya plan hadi kutafuta pesa kwa ajili ya miradi hiyo.

SGR Dar Moro imesuasua sababu ya ukosefu wa pesa, siyo mvua kama wanavyodanganya.

Bajeti zote za JPM ni hewa maana hazitekelezwi kwa hiyo hamna mantiki ya kuzijadili hapa.

Ndoto zetu zisizidi uwezo, mwisho wa miradi mikubwa isiyo na mpangilio ni kuchukua mikopo isiyolipika.
Sasa nimekupata vema mkuu. Yaani unafahamu kuwa SGR Dar-Moro haina pesa. Pia unafahamu kuwa JK ndiye aliyetekeleza expansion ya births 0, na 1-7. Tatizo hujaniambia kuwa unafahamu kikubwa kilichofanywa awamu zilizopita ni kuendesha bandari bila flow meters wala scanners. Pia hujaniambia kuwa kikubwa alichofanya JK bandarini ni kuzalisha kashfa ya births 13 na 14 zilizomng'oa mpaka waziri!

Sasa nimekupuuza rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie watu elimu yenu ya uchumi mnaitoaga wapi? Umenichekesha kweli. Yaani MNHEP isubiri SGR ikamilike ndiyo ijengwe! Na hapo umeme uliopo hautoshi na siyo reliable! Sasa hizo treni zitakuwaje na ufanisi ikiwa ujenzi wa reli zake hauendi sambamba na miradi ya umeme?

Tatizo jingine ni kuwa mfumo wetu wa elimu umejaa masomo na maada zisizo na tija sana na kupuuza yale yanayohitajika. Mfano, somo kama DS vyuo vikuu huishia kufundisha mambo ya class struggle na upuuzi mwingine.

That way unapata wasomi wasiojua namna jamii yao inapaswa kuendelea.

Everything must go.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]

Nani aliyekwambia umeme hautoshi? Tanzania inazalisha karibia 1700 MW na matumizi peak ya umeme ni 1000 MW. Tatizo kubwa ni transmission wala siyo installed capacity.

Anyway, acha jamaa aitumbukize nchi kwenye madeni makubwa watalipa wengine.
 
Sasa nimekupata vema mkuu. Yaani unafahamu kuwa SGR Dar-Moro haina pesa. Pia unafahamu kuwa JK ndiye aliyetekeleza expansion ya births 0, na 1-7. Tatizo hujaniambia kuwa unafahamu kikubwa kilichofanywa awamu zilizopita ni kuendesha bandari bila flow meters wala scanners. Pia hujaniambia kuwa kikubwa alichofanya JK bandarini ni kuzalisha kashfa ya births 13 na 14 zilizomng'oa mpaka waziri!

Sasa nimekupuuza rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijamlinganisha Jakaya na JPM mimi wala sijawahi kuwa mshabiki wa Jakaya. Angalia muktadha wa hiyo post.
 
Kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa "intuition". Bila hiyo urasimu peke yake huwa unakwamisha mambo. Kama unaifahamu vema mpanda, unaweza kuniambia ni kwa nini hapakuwa na flights za ATCL?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kuwa na route nyingi wakati una ndege chache, hiyo ni common sense. Matokeo yake ni kuwa na delay na cancelation za kutosha.
 
Kwa ufupi, kujua Uwezo wa JPM ni zaid ya kujua Calculus. Pia wahenga walisema "Birds of the same feather flocks together".

Humu ndani kuna great thinkers & great Sinkers, hivyo tusilazimishe slow leaners wawe fast leaners asee, watatupotezea muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajuaji wengi as if mlifanya market research! Wabongo wajuaji mpaka mna-bore! So mnajua kuliko wakina Matindi waliokuja na expansion plan? Nani alitegemea kuwa mwaka 2020 kutakuwa na Corona China! Na wale watalii waliokuwa wamepata kuanzia nao route? wacheni upumbavu wa kuwa warahisi kulalamika na kutia ufundi wa kutoka vijiweni!
Analysts wengi wa mitandaoni comment zao zinaleta uvivu hata kuzisoma. ATCL ilikuwa na plana sahihi kabisa hivyo wakachagua the most efficient fleet kwa kila category ya air routes ambazo kila moja ina umuhimu wake;

Domestic (short haul) routes walichagua Bombardier Q400-8 ambazo zina ufanisi kuliko mshindani wa karibu Bombardier ATR kama za Precision. Lengo ni kusukuma usafiri wa ndani.

Regional routes ilikuwa sahihi kuchagua B-CS300 over washindani akina A319, A320, au B 737 ambazo ni kubwa kidogo hivyo ufanisi wake ni mdogo (gharama vs mapato). Na hapa ndipo alipofeli Fast Jet.

Intercontinentally (long haul) tulikuwa na options mbili. Dreamliner vs Airbus 330neo au 350. Airbus walionekana kuwa na backlog kubwa na pia dreamliner ikawa na ufanisi zaidi. Ndiyo sababu airbus wakaleta kwere baada ya kuwapiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unless uniambie ndege inaenda tupu tena na evidence! Huwezi kuniambia one or three times flights a week tena kwa dash inaleta hasara kuna wanunuzi wengi wa nafaka upande ule!

80005338_467861004167835_4135154330211293484_n.jpg

EUmTrbCWkAEeVH2
Kwa abiria wa Mpanda-Dar ni more economic kupanda ndege kuliko gari (mfanyabiashara). Hivyo ukiona mtu anaponda ruti hiyo ambayo tayari ina kiwanja kizuri kabisa ujue ana ufahamu finyu kwenye hayo masuala. Pia JPM atakuwa aliona utoto wa wasaidizi wake unamkwamisha. Yaani eti route ilikuwa inakwamishwa na ukosefu wa magari ya zima moto! Kama vile yanatengenezwa sayari nyingine.

wanunuzi wote wa nafaka wa Afrika Mashariki wanaijua Mpanda (Katavi)! Nangoja ukarabati wa viwanja vya Mtwara na Songea ukamilike, Air Tanzania irudi zile route pia!
 
Shule yako vp mshikaji? Acha kujiaibisha pitia budget uone miradi yote hutengwa fedha! Na isiyotengwa huanzishwa pale tu tunapopata mkopo!
Huyu jamaa wa ajabu kweli. Anakwambia miradi imeishia hewani. Ukimwambia akutajie mmoja ulioishia hewani hataji. Mm nafikiri aachwe tuu na weupe wake ku-mkichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ulivyo na tatizo, unachofikiri reli kuwa ya umeme ni speed tu, ngoja nikupe somo kidogo:

Ukitumia Reli ya umeme (Stima) inapelekea kupunguza matumizi ya Diseli ambayo unaagiza kutoka nje ya nchi kwa fedha za kigeni na badala yake unatumia umeme unaozalishwa ndani kwa vyanzo vyenu na hivyo kupelekea kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya nchi na sio kutoa hizo peza kwenda nchi za nje kwa ajili ya diseli.

reli ya umeme (stima) inalinda mazingira, kutumia reli ya diseli inapelekea kuzalisha greenhouse gases ambazo zinaenda either kusababisha ozone layer depletion au kusababisha ongezeko la joto duniani ndo maana ujenzi wa reli ya diseli haitakiwi kwenye karne ambayo dunia inapambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kupelekea nchi zilizoendelea kuanza kutumia teknolojia zinazotumia umeme (stima) kama magari na mitambo mengine na sio mafuta. Hivyo dunia inaenda mbele nyie wakenya mnairudisha nyuma mwisho wa siku mtabaki peke yenu nyuma.

Mafuta yanakwisha, hivyo kama mumejenga reli ya diseli na siku mafuta yakafiga omega ina maana nyinyi mtasimama wapi maana hilo deni la mchina itachukua miaka mingi kulimaliza. Ila mngetumia umeme (stima) basi mambo yangekuwa poa maana maji lazima yawepo or upepo au chochote kile maana umeme (stima) una vyanzo vingi tofauti na hiyo diseli yenu.

Reli ya umeme (stima) ina mvuto wa kipekee ambao unaleta faida kwa watalii, pia inapendezesha mji au nchi na kuipandisha hadhi na sio diseli ambayo mlioweka nyinyi.

Gharama za uendeshaji wa Reli ya Diseli ni kubwa maana bei tu ya ayo mafuta haupangi wewe bali wanapanga wengine hivyo siku diseli ikipanda basi mnaanza kuangaika na kuwaumiza wananchi kwa kupandisha bei ili msipate hasara wakati reli ya umeme (stima) ni nyinyi nchi kama nchi ndo mnafanya maamuzi.

Reli ya umeme (stima) iko more automated kuliko ya diseli, kuna systems nyingi sana za safety (usalama) ambazo zinafanya kazi kwenye reli za umeme (stima) tu kama vile kuzima treni kutokea headquarters endapo ikionekana inahatarisha usalama wa abiria kama vile mwendokasi mkubwa. Mtu wa headquarter anabonyeza kitufe uku mzigo unazima.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado utashangaa hajaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huu ndio ukweli, ss leo Magu anakuja kubadili fikra za muafrika lkn bdo ukoloni unatusumbua, ila cna shaka na Magu cz amepewa moyo mgumu sn atapambana kubadili fikra mpk kitaeleweka tu, unajua baada ya hii covid-19 kupamba moto nmekuja kugundua Afrika inadharaulika kwa kiasi ambacho hakina kipimo, hvyo ni muda muafaka ss kwa waafrika kuwaonesha hao washenzi kwamba hata Afrika iliwahi kutawala dunia kupitia Egypty na tunaweza kuirudisha ile zama kupitia taifa lingine la Afrika km tutakuwa na fikra chanya.
Kweli kabisa. Pamoja na weakness zake (democracy & good governance), Magu ni game changer na kimsingi nchi yetu inamuhitaji sasa kuliko kipindi kingine. Tulihitaji kiongozi mwenye maono na misimamo thabiti kuelekea hayo maono.

Afrika ataendelezwa na waafrika wenyewe kwa fikra za kiafrika. Mambo ya kupangiwa vipaumbele na wazungu (na sasa wachina) tuwaachie wasiojiamini (Kenya kwa mfano).

Rai kubwa kwa Magu ni kuhakikisha kunakuwa na linkage baina ya EPZAs, SEZs, na industrial clusters nyingine, na miundombinu ya reli.

Enzi za awamu ya kwanza ilikuwa hivyo. Tuliochagua mfumo holela kila mtua akaanza kuweka kiwanda anapotaka yeye na hivyo kupelekea kuua kabisa economies of scale kwa wazalishaji wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi wa commuter train ya jiji la dodoma ( yaani treni za mjini) wa kilometer 100 upo hatua za mwisho za usanifu.

Reli hiyo ya mjini itaunganisha Airport itakayojengwa ya msalato, mji wa serikali kula mtumba, stendi ya mabasi ambako pia kuna soko la ndugai pamoja na stendi ya SGR kule ihumwa kuingia na kupitia mjini.

Majirani mjiandae tu kisaikolojia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom