kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
My friend, ili huo uchumi ukue lazima kuwekeza kwenye miundombinu kama hii ili kuuchochoea. Hauwezi kukaa tu eti usubiri ukue.
Pia lengo la SGR siyo tu kuwasafirishia hao majirani mizigo bali pia kuwarahisishia wazalishaji wetu namna ya kupeleka bidhaa zao kwenye hizo nchi.
Hivi unayo hata idea moja ya uchumi kweli wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini MGR na TAZARA hazikukuza uchumi? Jibu swali hili kwanza.