Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kuondoa vyuma vya Zege ndo kubomoa..akili yako umempa nani akushukie.
 
Acha ushamba ww kwani ukimjibu mshikaji bila dhihaka unapungukiwa nn...ningekuwepo karibu ngekutekenya kdgo kwnye king’amuzi
seriously Mtanzania halafu unauliza hapo ni wapi? hata kuelewa caption The best 007 atakuwa The worst 007!
 

Naona hiki Kipande kilichokuwa kimebaki nacho kimevunjwa rasmi. Najiuliza kama Yapi walijua na hiki kinatakiwa kijengwe upya kwanini hawakufanya pamoja ni hicho kingine? Mbona sielewi nini kinaendelea hapo? Naona upotezaji wa muda na resources usio na maana yoyote.
 
leta evidence!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…