Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Kuondoa vyuma vya Zege ndo kubomoa..akili yako umempa nani akushukie.Wana Mataga hamjambo ?
Naona SGR Daraja la Nkurumah limekongongorewa kwa mara ya Tatu.
Naona Jini la pale sio la Nchi hii.
Itabidi Mataga muongee na Jamaa mlie mvunjia Petrol station yake bila ya fidia yoyote.
Petrol station ile ilikua na hati miliki ya mwaka 1966 .
Magu akaivunja kibabe . Haya mukaongee naye au mtavunja hapo na kujenga mpaka maji mtaita mma