Una akili za ajabu sana, kwani design za station zimebadilika? mbona ziko hivyo hata kabla ujenzi haujaanza. Hayo ya riba ni ya ukaguzi wa CAG kwa FY 2019/20
Hio post ya KPA umeisoma ama hujui kusoma? Au KPA wanadanganya?bado unaleta akili ndogo ulikuwepo wakati zinapakuliwa..?..
na jamaa yangu yupo huko anafanya biashara nairobi ana containers zake mombasa port almost week sasa ivi anafuatilia mzigo wake na meli ilishashusha mzigo mda mrefu na kutembea ..
nakushangaa wewe unayesema containers zote zinatoka direct kwenye meli na kupakuliwa direct kuelekea nairobi,,
acha ukichaa
Kama JPM asingeingia madarakani hata hiyo reli yenyewe isingekuwa ya treni za umeme. Tungepata reli na treni za ovyo kama Kenya.
Chini ya JPM tumepata reli yenye specifications za juu kabisa.
Wajinga waliobaki sasa hivi si wa kuwaamini hata kidogo.
nishasoma ila mi nazungumzia reality mzee achana na maandishi hata wewe unaweza kuandikaHio post ya KPA umeisoma ama hujui kusoma? Au KPA wanadanganya?
Sio kweli, mradi wa SGR ulianza wakati wa JK na design ilikua kama ya Kenya, non electric piece of junk🙂Miaka ya nyuma CAG hakuripoti akimuogopa Magufuli.
Design itavo kuwa ni vimeo
Ww unaleta ushabiki wakijinga na kitot sanaa...Ujenzi wa reli mpya ulikua ni mpango wa maendeleo wa muda mrefu.
Naamini tungejenga reli ya kisasa zaidi yenye kukidhi mabadiliko ya technologia na ongezeko la watu.
Kuwa na reli ya umeme sio kigezo reli kuwa ya kisasa .
Naamini reli hii ingeanza Port kama kituo muhimu na wasafiri wange pata mahali pazuri zaidi kusubiri usafiri.
Naamini miundo mbinu ingekua bora zaidi ya kisasa na utu.
Hii reli tumesukumiwa kama mradi wa mwendokasi.
Tumeboronga
Time will tell
Wapi auditing report hapa?Tatu city Nairobi
This is a private city mzee. This is one of the few private cities in the world. Hii sio city ya serikali. Konza ndio city ya serikali. Tulia upate masomo kutoka Kenya kuhusu mambo haya.Wapi auditing report hapa?
kwahiyo private books hazifanyiwi auditing? U r a fool!This is a private city mzee. This is one of the few private cities in the world. Hii sio city ya serikali. Konza ndio city ya serikali. Tulia upate masomo kutoka Kenya kuhusu mambo haya.
Do you really have a brain? That's a private entity so I wonder why you want them to put their auditing report in public. Whatever they do with their money is up to them and they don't have to show low life people like you how they used it.kwahiyo private books hazifanyiwi auditing? U r a fool!
You are the one who is a complete fool. Companies that 100% are privately owned sio lazima zifanyiwe auditing na hata zikifanyiwa sio lazima zidisclose audit report. Hakuna kitu unachoweza kunifunza kuhusu hili. Unajionanga mwerevu sana as if unajua kila kitu kumbe wewe ndio upo zero kwenye ubongo.kwahiyo private books hazifanyiwi auditing? U r a fool!
This guy Geza Ulole is a complete fool. Anadhani kwamba companies that are 100% privately owned lazima zidisclose audit report. Those investors are under no obligation to disclose anything to the public. Anajifanyanga mwerevu kumbe hakuna anachojua.Do you really have a brain? That's a private entity so I wonder why you want them to put their auditing report in public. Whatever they do with their money is up to them and they don't have to show low life people like you how they used it.
So how do u know that they pay fair tax?You are the one who is a complete fool. Companies that 100% are privately owned sio lazima zifanyiwe auditing na hata zikifanyiwa sio lazima zidisclose audit report. Hakuna kitu unachoweza kunifunza kuhusu hili. Unajionanga mwerevu sana as if unajua kila kitu kumbe wewe ndio upo zero kwenye ubongo.
They can disclose audit report to the Kenyan tax aurhorities but they are under no obligation to display their audit report to the public. This is a fundamental principle of auditing.So how do u know that they pay fair tax?
Hata ningekuwa mimi nisingempa. Siyo kila snitch apewe documents ambazo ni za national security. Leo zingekuwa zimetapakaa kila kona kwa namna anavyoropoka.Prof Assad:Nilipoomba nyaraka za ununuzi wa ndege, SGR na Bandari ya Bagamoyo alikataa kunipatia
Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini. Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...www.jamiiforums.com
We will know through GOK and not them. Please try to learn how private entities work before you continue embarrassing yourself here.So how do u know that they pay fair tax?