Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Una akili za ajabu sana, kwani design za station zimebadilika? mbona ziko hivyo hata kabla ujenzi haujaanza. Hayo ya riba ni ya ukaguzi wa CAG kwa FY 2019/20

Miaka ya nyuma CAG hakuripoti akimuogopa Magufuli.
Design itavo kuwa ni vimeo
 
bado unaleta akili ndogo ulikuwepo wakati zinapakuliwa..?..

na jamaa yangu yupo huko anafanya biashara nairobi ana containers zake mombasa port almost week sasa ivi anafuatilia mzigo wake na meli ilishashusha mzigo mda mrefu na kutembea ..

nakushangaa wewe unayesema containers zote zinatoka direct kwenye meli na kupakuliwa direct kuelekea nairobi,,

acha ukichaa
Hio post ya KPA umeisoma ama hujui kusoma? Au KPA wanadanganya?
 
Kama JPM asingeingia madarakani hata hiyo reli yenyewe isingekuwa ya treni za umeme. Tungepata reli na treni za ovyo kama Kenya.

Chini ya JPM tumepata reli yenye specifications za juu kabisa.

Wajinga waliobaki sasa hivi si wa kuwaamini hata kidogo.

Ujenzi wa reli mpya ulikua ni mpango wa maendeleo wa muda mrefu.
Naamini tungejenga reli ya kisasa zaidi yenye kukidhi mabadiliko ya technologia na ongezeko la watu.
Kuwa na reli ya umeme sio kigezo reli kuwa ya kisasa .
Naamini reli hii ingeanza Port kama kituo muhimu na wasafiri wange pata mahali pazuri zaidi kusubiri usafiri.
Naamini miundo mbinu ingekua bora zaidi ya kisasa na utu.
Hii reli tumesukumiwa kama mradi wa mwendokasi.
Tumeboronga
Time will tell
 
Prof Assad:Nilipoomba nyaraka za ununuzi wa ndege, SGR na Bandari ya Bagamoyo alikataa kunipatia
 
Ww unaleta ushabiki wakijinga na kitot sanaa...
 
Wapi auditing report hapa?
This is a private city mzee. This is one of the few private cities in the world. Hii sio city ya serikali. Konza ndio city ya serikali. Tulia upate masomo kutoka Kenya kuhusu mambo haya.
 
This is a private city mzee. This is one of the few private cities in the world. Hii sio city ya serikali. Konza ndio city ya serikali. Tulia upate masomo kutoka Kenya kuhusu mambo haya.
kwahiyo private books hazifanyiwi auditing? U r a fool!
 
kwahiyo private books hazifanyiwi auditing? U r a fool!
Do you really have a brain? That's a private entity so I wonder why you want them to put their auditing report in public. Whatever they do with their money is up to them and they don't have to show low life people like you how they used it.
 
kwahiyo private books hazifanyiwi auditing? U r a fool!
You are the one who is a complete fool. Companies that 100% are privately owned sio lazima zifanyiwe auditing na hata zikifanyiwa sio lazima zidisclose audit report. Hakuna kitu unachoweza kunifunza kuhusu hili. Unajionanga mwerevu sana as if unajua kila kitu kumbe wewe ndio upo zero kwenye ubongo.
 
Do you really have a brain? That's a private entity so I wonder why you want them to put their auditing report in public. Whatever they do with their money is up to them and they don't have to show low life people like you how they used it.
This guy Geza Ulole is a complete fool. Anadhani kwamba companies that are 100% privately owned lazima zidisclose audit report. Those investors are under no obligation to disclose anything to the public. Anajifanyanga mwerevu kumbe hakuna anachojua.
 
You are the one who is a complete fool. Companies that 100% are privately owned sio lazima zifanyiwe auditing na hata zikifanyiwa sio lazima zidisclose audit report. Hakuna kitu unachoweza kunifunza kuhusu hili. Unajionanga mwerevu sana as if unajua kila kitu kumbe wewe ndio upo zero kwenye ubongo.
So how do u know that they pay fair tax?
 
Prof Assad:Nilipoomba nyaraka za ununuzi wa ndege, SGR na Bandari ya Bagamoyo alikataa kunipatia
Hata ningekuwa mimi nisingempa. Siyo kila snitch apewe documents ambazo ni za national security. Leo zingekuwa zimetapakaa kila kona kwa namna anavyoropoka.

Kuna taratibu za kazi na kuna uzalendo juu yake. Kwa mfano;

Kwa mujibu wa mkataba wa ujenzi wa lot 1, Local Content kwenye HR ni 80%. Ila tangia mradi uanze tumecheza kwenye 95-96%. Hivyo vibali vya kazi Magu angekuwa anavitoa kama njugu, huyu poyoyo anadhani tungeifikia hiyo asilimia?

Hawa wasomi wetu wasiwe tu na akili za darasani. Wawe na akili za kujitegemea pia.
 
Back
Top Bottom