Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wewe mkunya juha leta evidence kwamba kila mmoja ana distribution lines zake!
Evidence itapata tu usijali, sahii Niko safarini. I have never ran away from backing up my comments with facts. But tatizo lenu tunalijua, the moment ushahidi utaanza kumwagwa hapa mtageuza story na kuanza kusema data zimepikwa sijui unataka picha ya kila nyaya ya transmission line ... Etc

Anyway, Kentraco mainly deals with evacuating high voltage power from power plant to Kenya power's substations , Lakini Kenya power KPLC pia hua iko na high voltage transmission lines zake ambazo Wana link one substation to another. Ngoja nikifika niendako ntakuletea combined high voltage lines za Kenya, trust meme,
 
mwenzio Tony254 kanyamaza kwa vile anajua unadanganya Kengen haishiriki kwenye power distribution! Nangoja evidence with the number of km of power transmission!
 
Geza wacha jokes saa zingine. Sio kila wakati ni wakati wa jokes. Sasa huoni kuna tofauti kubwa kati ya hio rig mkebe uliopost


na hii ambayo nilipost ambayo ndio geothermal drilling rig

Nyinyi mnaunda drilling rig ndogo pengine ya kuchimba maji ambayo kimo chake hakifiki zaidi ya 1,000 metres kuenda chini. Hio rig yenu mbovu haiwezi kuchimba geothermal. Drilling rig ya geothermal ni kubwa zaidi kwa sababu inastahili kuchimba kina cha 3,000 metres. Yaani 3 km kuenda chini. Hata kwa mtazamo tu unaweza kuona tofauti ya hizo rigs mbili.
 
Unajua kina cha utafutaji wa mafuta? from 1 km to 6km! Again hujui kitu una-demonstrate ujuha! I should ignore u!

 
Umeme wetu bei itakuwa chini sana investors will come calling nyinyi kaeni na surplus ya expensive thermal energy angalau hata mgekuwa na gas mgepata umeme cheap kidogo unafikiri kwanini Kenyata anataka gas pipeline to Mombasa unafikiri ni gas ya kupikia anataka?
 
punda atabaki kuwa punda mwaka kesho muda kama huu tutakuwa tunajiandaa ku-launch JNHPP!
 
Labda tukusaidie kidogo inaelekea hujui maana ya Ketraco na pia hujui maana ya Kplc. The former ni transmission company na the latter ni distribution company
 
Kusema kweli wewe Tony254 ni mpumbavu wa mwisho nimejaribu kuangalia vitu unavyobisha humu ndani nimegundua ubishi wako hujazwa na ego na si realities! Upo so taken na vitu vidogo kama drilling kwenye geothrmal badala ya heat energy hanessing (Heat pump) and heat to electric generating systems! Yaani upo shallow halafu mshamba! Nilitegemea ur argument ingekuwa on that area ila mpumbavu wewe unabishia kuchimba visima vya joto ardhi! Hivi unaweza kupishana na nchi yenye uwezo wa ku-drill kms deep underground na kupitisha giant equipments bulldozers and trucks and trucks?

Seriously? Get a picture of activities all around large mines across Tanzania








Wacha upumbavu aisee hiyo little achievement mliyonayo is nothing to mining countries! Uliza any engineer atakuambia si kitu cha kujisifu namna hiyo!
 
Tanzania have been having cheap electricity bill compared to Kenya all along but investors are flooding Kenya as compared to Tz. So kitu isiwadanganye kuwa hiyo dam yenu ikiisha investors will just come from nowhere. You can take example with the expansion of JNIA III, it's completion increased JNIA total capacity to around 8M instead it only serves 2M per year.
 
Unataka kutudanganya kwamba hio drill yenu ndogo inaweza kuchimba kilomita sita?
 
Hahaha. Good point. Wao wanadhani kwamba cheap electricity ndio kila kitu. Investors wanaangalia whether there are positive policies on the ground.
 
Unataka kutudanganya kwamba hio drill yenu ndogo inaweza kuchimba kilomita sita?
Stamico ina several drilling machines ni usenge unakusumbua kushindana na nchi ya nne kwenye mining kisa mme-drill visima vya geothermal! Wewe uchoko unakusumbua! tunachimba Helium baada ya kuchimba mamia ya visima vya natural gas!
 
Labda tukusaidie kidogo inaelekea hujui maana ya Ketraco na pia hujui maana ya Kplc. The former ni transmission company na the latter ni distribution company
KPLC ndo ilikua kama TANESCO kitambo..... in 2008 KENTRACO was formed to be the transmitting company for all new transmission networks.... All the transmission networks that existed before KENTRACO was created are and continue to remain the property of KPLC! Wajinga malazy tutaona yakimwaga povu leo, ngoja sasa hivi nikuonyeshe vile Kenya ni moto wa kuotea mbali.
 
hey, take it from me.. hakuna mlichotuzidi kwenye transmission lines .. labda power generation capacity, hii J.Nyerere HydroPower Plant yetu ndo itatupeleka mbele zaid yenu.. ila kwenye transmission lines jua hakuna mlichotuzidi hata kwa sekunde


Mko na MW kidogo kutushinda, Mko na blackouts nyingi zaidi kutushinda, Alafu akili zako zikutume uje uamini eti inawezekana mkawa na Transmission grid ndefu kutuliko 😵😵😵







Hapo panasema "TANESCO owns interconnection power grid made up of generation system transmission and distribution system. Transmission system comprises of fifty-seven (57) Substations interconnected by transmission lines. Transmission lines network comprises of 3010.7 km of 220 kV, 1672.57 km of 132 kV, 543 km of 66kV and 670 km 400kV totalling 5896.27 km by the end of December 2019."
------------------------------------------------

Hapo ondoa hio 543Km of 66KV kwenye hesabu za Transmission lines, 66kV and below should be considered part of the distribution network. 132kV and above is what is considered a true transmission line




So Tanzania has 5,353 Km of transmission lines as of Dec 2019.





KPLC still owns a majority of the transmission lines above 132kV , Kentracos network is only 37.5% of all the National Transmission lines, but this wont last long, KENTRACO has 23 active projects U/C







When those projects are complete, The will add 6,679 KM of Transmission lines in Kenya, So its only Tz that has future plans, you are not about to catch up anytime soon, you make 3 steps and before you take anotherone Kenya is 7 steps ahead of you!!!

Ongoing projects!
 
ati Kunyaland ina reliable power kutushinda?
 
now show me the 6000 km being constructed!

as for me i gave links yesterday! And why r u showing only Ketraco where is Kenpower u yapped has transmission lines?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…