π€£π€£π€£π€£ This guy still dreaming that Tanzania has more reliable power than Kenya π€£π€£π€£π€£linganisha na Ketraco! The good thing is Tanesco is supplying reliable power!
Kenya Power sinks further into losses
KenGen owns a vast majority of geothermal wells at Olkaria.www.standardmedia.co.ke
Mazombi ya CCM pekee ndo yanaamini Tz hua inatumia pesa zake za ndani
TANESCO inadaiwa $400 million...... Kampuni hio mekua ikipewa governmnet bailouts za angalau $200m kila mwaka hadi 2020 ndo ikawa inaweza kujisupport manake kila mwaka inakula loss..
View attachment 1807826
--------------------------------------------
Unataka ulinganishe huo uchwara na kampuni ya nguvu kama Kengen? mind you, Kengen haiombi msaada wa bure au grants kutoka kwa serekali, Kengen ni kampuni hujitaftia hela wenyewe na kisha wakazilipa wenyewe polepole bila kuhitaji usaidizi wa serekali. Je TANESCO inaweza kujenga mradi wowote ikitumia revenue yake ya ndani bila kuhitaji hela za walipa kodi!???
LAst year Kengen ilitengeneza faida ya $180m, hio capital ya $1.9B ambayo wanatafuta huko nje wanaweza kuilipa ndani ya miaka 15. Je TANESCO ilitengeneza faida gani mwaka uliopita?
By far!π€£π€£π€£π€£ This guy still dreaming that Tanzania has more reliable power than Kenya π€£π€£π€£π€£
Alafu tulikua tunaongelea kuhusu Kengen kutafuta $1.9B kutoka nje kuja kujenga geothermal power plants, sasa sijui vipi tena unataka nilinganishe na Kentraco au Kenya power.... They are not the ones looking for $1.9B to build power plants!
HAhaha data zishageuka na kuwa fake, Typical Tanzanian
siku moja JPM aliamka na bila kufikiria aka amuru Tanesco iuze stima kwa bei flani ya chini na kufurahisha wananchi. Hii ndio maana aliitwa Populist President!We kweli zwazwa yani unachekelea faida π wakati umeme mnauziwa kwa bei ghali na hayo makampuni, compared na tz
π π π πSpecs za train zetu ni Korean EMU 150 sasa fanya research yako halafu urudi hapa
Kishakula editing za kutosha! π€£ π€£ π€£ π€£
Hata mkaleta post mia za wakenya wakilalamikia stima kupotea, bado haigeuzi kwamba Tz umeme unapotea zaidi kuliko Kenya!soma comments [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni ya mizingo, lazma ikae kibabe! πKuwa na heshima chizi wewe!
VS
"Ni kwa usalama wa muugano wa Tanzania".......... π π π π π π π π π π π π πHata factory visit hatujaonyeshwa. Wahandisi wa TRC walipoenda Korea Kusini kufanya factory visit mbona hata hamkutupiwa kapicha au kavideo? Najua wameshafanya factory visit ili kutazama ikiwa treni zinajengwa kulingana na specs zilizokubaliwa ila information hio ya factory visit imefichwa kwa usiri mkubwa ili msione jinsi mtungi wa changaa wenu unavyofanana.
Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.Hata mkaleta post mia za wakenya wakilalamikia stima kupotea, bado haigeuzi kwamba Tz umeme unapotea zaidi kuliko Kenya!
Msitufanye kama sisi hatuwezi ku google kutafuta comments kama hizo kutoka kwa watz.
Wapo kwa Facebook ingawaje si watz wengi wanajishughulisha. Huko fb pia ni @tanescoyetu enda ukaangalie vile kwa comments kila mtu analalamika, Kuna jamaa mmoja ata anasema ataenda kwa mganga airoge TANESCO !!!Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
Wewe ni boya huenda ikawa hujui kusoma [emoji116]Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
Cheka na ni ukweli, mmejaza nyuzi huko vile stima huko kwenyu mnasumbuka kwa kupotea sana sana na pia kuwa ghali. Wacha sasa nikulezee, KE afadhali, stima huku kupotea labda zinatengezwa pahali na ni nadra sana. Sasa bado utawapiga wabongo wenzio wanaopata taabu ya stima? π π πNmecheka sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wako FB... πTanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
Wapo kwa Facebook ingawaje si watz wengi wanajishughulisha. Huko fb pia ni @tanescoyetu enda ukaangalie vile kwa comments kila mtu analalamika, Kuna jamaa mmoja ata anasema ataenda kwa mganga airoge TANESCO !!!
Turns out wako pia twitter na wanajiita @tanescoyetu. Mimi nilitype Tanesco na haikuniletea kitu.Wako FB... π
Alafu wanajiliwaza hapa!π¬π¬π¬ππΎββοΈTurns out wako pia twitter na wanajiita @tanescoyetu. Mimi nilitype Tanesco na haikuniletea kitu.
Ndio hii complaint
View attachment 1808123
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaropoka bitu bila hata ya uhakika ,,,Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
Nenda FB ndo utapata comments nyingi za malalamishiTurns out wako pia twitter na wanajiita @tanescoyetu. Mimi nilitype Tanesco na haikuniletea kitu.
Ndio hii complaint
View attachment 1808123