Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

linganisha na Ketraco! The good thing is Tanesco is supplying reliable power!

🤣🤣🤣🤣 This guy still dreaming that Tanzania has more reliable power than Kenya 🤣🤣🤣🤣

Alafu tulikua tunaongelea kuhusu Kengen kutafuta $1.9B kutoka nje kuja kujenga geothermal power plants, sasa sijui vipi tena unataka nilinganishe na Kentraco au Kenya power.... They are not the ones looking for $1.9B to build power plants!
 
Mazombi ya CCM pekee ndo yanaamini Tz hua inatumia pesa zake za ndani

TANESCO inadaiwa $400 million...... Kampuni hio mekua ikipewa governmnet bailouts za angalau $200m kila mwaka hadi 2020 ndo ikawa inaweza kujisupport manake kila mwaka inakula loss..
View attachment 1807826

--------------------------------------------

Unataka ulinganishe huo uchwara na kampuni ya nguvu kama Kengen? mind you, Kengen haiombi msaada wa bure au grants kutoka kwa serekali, Kengen ni kampuni hujitaftia hela wenyewe na kisha wakazilipa wenyewe polepole bila kuhitaji usaidizi wa serekali. Je TANESCO inaweza kujenga mradi wowote ikitumia revenue yake ya ndani bila kuhitaji hela za walipa kodi!???
LAst year Kengen ilitengeneza faida ya $180m, hio capital ya $1.9B ambayo wanatafuta huko nje wanaweza kuilipa ndani ya miaka 15. Je TANESCO ilitengeneza faida gani mwaka uliopita?

We kweli zwazwa yani unachekelea faida 😅 wakati umeme mnauziwa kwa bei ghali na hayo makampuni, compared na tz
 
🤣🤣🤣🤣 This guy still dreaming that Tanzania has more reliable power than Kenya 🤣🤣🤣🤣

Alafu tulikua tunaongelea kuhusu Kengen kutafuta $1.9B kutoka nje kuja kujenga geothermal power plants, sasa sijui vipi tena unataka nilinganishe na Kentraco au Kenya power.... They are not the ones looking for $1.9B to build power plants!
By far!

Pita huku uone where u belong, achana na hizo data fake!

https://twitter.com/KenyaPower_Care
HAhaha data zishageuka na kuwa fake, Typical Tanzanian

Hizo incedents moja moja za blackout unazojaribu kunionyesha ndo hizo zinakusanya na kuhesabiwa ndani ya mwaka! Ni sawa sawa na mi nikwambie nimepata grade A kwa mtihani we uko busy ukinionyesha swali moja moja ambalo nilikosa... Haijalishi kama nilikosa maswali mengine! la muhimu bado niko na A!
2796538_1622762035910.png

BTW, do you know why KPLC is so active at announcing scheduled maintenance? kuna nya nyingi sana ambazo KPLC inageuza, and the have the best customer engagement in Kenya. Those guys are very dedicated at responding to customers, In 2014, KPLC was ranked as worlds most socially devoted industrial company!!!!! Those guys update people on everything they do!

1622800743565.png

-------
Last year nikiwa Nairobi, nilikua natembea naenda dukani kununua kitu, Nikapata nyaya ya umeme imeangukiwa na vifaa vya mjengo wa gorofa iliokua inajengwa, nikatuma tweet kwa @KenyaPower_Care kama mchezo, kidogo kidogo naona wamereply wananiambia niwatumie number yangu kwa DM wanipigie, Jamaa wakanipigia na kuniambia niwapaatie meter number ya pale napoishi ndo watajua ni wapi pa kutuma gari lije likague hizo nyaya kama ziko sawa.... Baada ya lisaa wakanipigia tena wakiniambia ma-Engineer wao wameondoa hizo takataka kutoka kwa nyaya na kila kitu kiko shwari!

---------

We unajua vile wakenya wanapenda kulalamika pale twitter? Unafikiri ni rahisi kuchaguliwa kama the most helpful brand on Twitter in Kenya, tena kwa miaka miwili mtawalia! wakati unalazimika ku deal na millions of customers kila mwaka

1622801488186.png
 
We kweli zwazwa yani unachekelea faida 😅 wakati umeme mnauziwa kwa bei ghali na hayo makampuni, compared na tz
siku moja JPM aliamka na bila kufikiria aka amuru Tanesco iuze stima kwa bei flani ya chini na kufurahisha wananchi. Hii ndio maana aliitwa Populist President!

TANESCO imekua ikiuza kila unit ya stima kwa loss manake kulingana na walichowekeza na peza zilizotumika kujenga viwanda vipya vya umeme, hizo units hazifai kuuzwa kwa bei hio ya chini! Lakini serekali ya JPM ilwalazimisha na ku control hio bei

1622801898944.png

Hebu niambie kama si uushenzi wa hali ya juu huu
 
soma comments [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata mkaleta post mia za wakenya wakilalamikia stima kupotea, bado haigeuzi kwamba Tz umeme unapotea zaidi kuliko Kenya!
Msitufanye kama sisi hatuwezi ku google kutafuta comments kama hizo kutoka kwa watz.
 
Hata factory visit hatujaonyeshwa. Wahandisi wa TRC walipoenda Korea Kusini kufanya factory visit mbona hata hamkutupiwa kapicha au kavideo? Najua wameshafanya factory visit ili kutazama ikiwa treni zinajengwa kulingana na specs zilizokubaliwa ila information hio ya factory visit imefichwa kwa usiri mkubwa ili msione jinsi mtungi wa changaa wenu unavyofanana.
"Ni kwa usalama wa muugano wa Tanzania".......... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hata mkaleta post mia za wakenya wakilalamikia stima kupotea, bado haigeuzi kwamba Tz umeme unapotea zaidi kuliko Kenya!
Msitufanye kama sisi hatuwezi ku google kutafuta comments kama hizo kutoka kwa watz.
Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
 
Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
Wapo kwa Facebook ingawaje si watz wengi wanajishughulisha. Huko fb pia ni @tanescoyetu enda ukaangalie vile kwa comments kila mtu analalamika, Kuna jamaa mmoja ata anasema ataenda kwa mganga airoge TANESCO !!!
 
Nmecheka sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Cheka na ni ukweli, mmejaza nyuzi huko vile stima huko kwenyu mnasumbuka kwa kupotea sana sana na pia kuwa ghali. Wacha sasa nikulezee, KE afadhali, stima huku kupotea labda zinatengezwa pahali na ni nadra sana. Sasa bado utawapiga wabongo wenzio wanaopata taabu ya stima? 😂 😂 😂
 
Wapo kwa Facebook ingawaje si watz wengi wanajishughulisha. Huko fb pia ni @tanescoyetu enda ukaangalie vile kwa comments kila mtu analalamika, Kuna jamaa mmoja ata anasema ataenda kwa mganga airoge TANESCO !!!
Wako FB... 😂
Turns out wako pia twitter na wanajiita @tanescoyetu. Mimi nilitype Tanesco na haikuniletea kitu.

Ndio hii complaint
Screenshot_20210604-165912.jpg
 
Tanzania hata Tanesco haiko kwenye twitter. Nimejaribu kuitafuta kwenye twitter na sijaiona. What a pathetic country.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaropoka bitu bila hata ya uhakika ,,,

endelea kuota msoto ,,
 
Back
Top Bottom