Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

SGR ya kenya behewa moja premium mengine yote unakalia ubao 😁
naona unafosi kukariri na hii pia jamaa wa HVAC 🀣
zipo classes tofauti kwenye treni,,, mfuko wako ndio utakaoongea.
 
Wajinga sana Wakenya! Walileta behewa hilo simply kwakua trains za Tanzania ziliwauma na ndio pekee linapostiwa huku kila kukicha wakati mradi wao unaendeshwa kwa hasara na bado wanafanya mambo kitoto.
mpuuzi sana wewe. ulitaka yafungwe mabehewa mangapi?
kwahio treni ya Kenya hufungwa behewa moja pekee na hakuna classes tofauti kulinganisha na mfuko wako?
hata mchongoko pia hufunga behewa moja la royal na mukiingia ndani nyote munakula korosho na chai rangi.
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Oh! What a time to be alive!


 
 
ubunifu = Zero
hata Kimbinyiko ina afadhali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
compare and contrast!
mwenye macho haambiwi 'tazama'



😁😁😁

 
🀣🀣🀣

 
🀣🀣🀣 umeandika kiunyonge sana hadi unatia huruma.
Kinyonge kivipi sisi after boarding the train unapata breakfast asubuhi before you finish your breakfast and newspaper reading umeshafika. Nyie sasa breakfast lunch na dinner humohumo what's the difference na lunatic rail.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…