Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

halafu munataka kushindana kibiashara ukanda huu?
huoni kama hii pakia/ pakua inaenda kuwa-cost sana i.e,,
1. Time consuming
2. Expensive
You are very stupid. Mabehewa yote ya mizigo zaidi ya 230 ndio yamefika bandarini hii juzi na upakuwaji utaanza soon. Kipande cha kukonekt na bandari kipo kinajengwa na ni underground.

Tulia, dawa itakuingia soon.
 
aiseee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

 
inasikitisha sana tokea juzi, maeneo mingi sana ya nchi yamekumbwa na tatizo la umeme
 
Kuweni na uzalendo kwa nchi yenu. Mambo kama hayo siyo kuyaanika mitandaoni kwani nchi jirani zikiona zitatudharau. Mambo kama haya tuwe tunalalamika kwa kupigiana simu au kwenye magrupu ya kitanzania au kuwatumia ujumbe wakuu wa wilaya na mikoa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
kaa ukijua kwamba siku zote, mficha uchi hazai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…