Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapana bwana nyie huwa mnadhani ni matajiri Africa mashariki ndio maana mlijenga hiyo hamkidhani Kama Tz tunhewaza makubwa eti kwasababu barabara za 3 lanes mmeanza kujenga before us. Things changes, .now mnavofanya mambo mjue kabisa Giant anawaangalia na kuwa chora, and I hope now mmeshajua kuwa Tz are geneous
Kitambo sana niliwaambia waKenya ni watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzagizan. Watu wa kuona mbele.

Wakati SGR inaundwa it was envisaged that later, it will be electrified. Hatujawai fanya vitu kwa kufuata Tanzagiza. Mtatusubiria sana. Ni ukweli tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Giant gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana bwana nyie huwa mnadhani ni matajiri Africa mashariki ndio maana mlijenga hiyo hamkidhani Kama Tz tunhewaza makubwa eti kwasababu barabara za 3 lanes mmeanza kujenga before us. Things changes, .now mnavofanya mambo mjue kabisa Giant anawaangalia na kuwa chora, and I hope now mmeshajua kuwa Tz are geneous

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwongo gani kusema/kudhani Kenya ndio the economic powerhouse kanda hizi za Africa?
 
Mara ngapi mtaambiwa Kenya hatufanyi vitu tukifikiria Tanzania? Sisi ndio pioneers nyinyi wengine hutufata tuu
Hapana bwana nyie huwa mnadhani ni matajiri Africa mashariki ndio maana mlijenga hiyo hamkidhani Kama Tz tunhewaza makubwa eti kwasababu barabara za 3 lanes mmeanza kujenga before us. Things changes, .now mnavofanya mambo mjue kabisa Giant anawaangalia na kuwa chora, and I hope now mmeshajua kuwa Tz are geneous

Sent using Jamii Forums mobile app
 
46243998_761597457520070_3380325735130768890_n.jpg

35km from dar station
 
I'm telling u, kuna mkenya nipo nae hapa she is my job mate here.Anakubali kuwa they are lost kwenye SGR. And father attempt to correction will cause total lost. Hata ww unajua hilo lakin hutosema ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.

Kitu nilichogundua kwenye hizi nyuzi za Wakenya na Watanzania ni kuwa Wakenya wengi wako vizuri katika lugha zote mbili kwa kuandika, Kingereza na Kiswahili, kuliko Watanzania wengi.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tatizo la Kenya kwenye hii miradi mikubwa ni wapigaji sana.

Tanzania pia tatizo hilo tunalo lakini katika hii miaka mitatu Magufuli anajitahidi sana kuwabana. Mungu asaidie afanikiwe, maana dah.

Watanzania wezi si mchezo, wameiba mashirika yote ya umma.

Halafu wengi walioiba mipesa mingimingi ni wajinga, wanaiba halafu wanaipeleka kuificha Ulaya. Au wanaiba halafu wanawapa wahindi na waarabu wafanya biashara wawazalishie.

Wengi wao wanaiba halafu wanalewea tu. Michango mikubwa kwenye harusi na vifo.

Kuna siku nilihudhuria maziko ya ndugu wa rafiki yangu mmoja yalifanyika Sinza. Basi hiyo catering service, vinywaji kila aina ya vya kilevi vilivyokuwepo siku zote za maziko (zaidi ya wiki) nilishangaa sana.

Nikamwambia yule rafiki yangu, inaonesha kwenu ni matajiri sana lakini wewe hujioneshi. Akanambia ahh wapi, mambo yote haya yanafanywa na mjomba anafanya kazi bandarini. Nikashangaa sana, vipi mfanyakazi wa badarini anamudu pesa zote zile? Estimation yangu ya ghafla ilikuwa si chini ya million 20 kwa siku zilizotumika kwenye mazishi tu.
 
Nadhani ni wakati muafaka wa kuwapa pongezi Wakenya na Watanzania kwa jitihada zao za maendeleo. Naamini huu ushindani utatuletea maendeleo makubwa sana.

Mikenya mijizi sana. Mpaka inatamani iwe na Rais kama Magufuli akawanyooshe kidogo. Wamuazime tu, kila mwezi siku tatu akapige part time Kenya.
 
After ngong tunnel which is tunnel no. 1 at the start of the great rift valley

Tunnel No. 2 Kumuka tunnel

Ca0T53x.jpg

tunnel 3. Nachu tunnel

rnj4qdK.jpg

EisF6ao.jpg

Mbona kama Shimo la panya? Btw These tunnels exist in Tz since 1970’s.. you are seeing it for the first time right?
 
Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.

Kitu nilichogundua kwenye hizi nyuzi za Wakenya na Watanzania ni kuwa Wakenya wenbi wako vizuri katika lugha zote mbili kwa kuandika, Kingereza na Kiswahili, kuliko Watanzania wengi.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tatizo la Kenya kwenye hii miradi mikubwa ni wapigaji sana.

Tanzania pia tatizo hilo tunalo lakini katika hii miaka mitatu Magufuli anajitahidi sana kuwabana. Mungu asaidie afanikiwe, maana dah.

Watanzania wezi si mchezo, wameiba mashirika yote ya umma.

Halafu wengi walioiba mipesa mingimingi ni wajinga, wanaiba halafu wanaipeleka kuificha Ulaya. Au wanaiba halafu wanawapa wahindi na waarabu wafanya biashara wawazalishie.

Wengi wao wanaiba halafu wanalewea tu. Michango mikubwa kwenye harusi na vifo.

Kuna siku nilihudhuria maziko ya ndugu wa rafiki yangu mmoja yalifanyika Sinza. Basi hiyo catering service, vinywaji kila aina ya vya kilevi vilivyokuwepo siku zote za maziko (zaidi ya wiki) nilishangaa sana.

Nikamwambia yule rafiki yangu, inaonesha kwenu ni matajiri sana lakini wewe hujioneshi. Akanambia ahh wapi, mambo yote haya yanafanywa na mjomba anafanya kazi bandarini. Nikashangaa sana, vipi mfanyakazi wa badarini anamudu pesa zote zile? Estimation yangu yanghafla ilikuwa si chini ya million 20 kwa siku zilizotumika kwenye mazishi tu.
Nakushangaa ww unayelazimisha hata kiswahili hicho kiingereza utakijua lini, unaleta hadithi za abunuasi. Punguza ujuaji mwingi unapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.

Kitu nilichogundua kwenye hizi nyuzi za Wakenya na Watanzania ni kuwa Wakenya wenbi wako vizuri katika lugha zote mbili kwa kuandika, Kingereza na Kiswahili, kuliko Watanzania wengi.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tatizo la Kenya kwenye hii miradi mikubwa ni wapigaji sana.

Tanzania pia tatizo hilo tunalo lakini katika hii miaka mitatu Magufuli anajitahidi sana kuwabana. Mungu asaidie afanikiwe, maana dah.

Watanzania wezi si mchezo, wameiba mashirika yote ya umma.

Halafu wengi walioiba mipesa mingimingi ni wajinga, wanaiba halafu wanaipeleka kuificha Ulaya. Au wanaiba halafu wanawapa wahindi na waarabu wafanya biashara wawazalishie.

Wengi wao wanaiba halafu wanalewea tu. Michango mikubwa kwenye harusi na vifo.

Kuna siku nilihudhuria maziko ya ndugu wa rafiki yangu mmoja yalifanyika Sinza. Basi hiyo catering service, vinywaji kila aina ya vya kilevi vilivyokuwepo siku zote za maziko (zaidi ya wiki) nilishangaa sana.

Nikamwambia yule rafiki yangu, inaonesha kwenu ni matajiri sana lakini wewe hujioneshi. Akanambia ahh wapi, mambo yote haya yanafanywa na mjomba anafanya kazi bandarini. Nikashangaa sana, vipi mfanyakazi wa badarini anamudu pesa zote zile? Estimation yangu yanghafla ilikuwa si chini ya million 20 kwa siku zilizotumika kwenye mazishi tu.
Asante kwa story nzuri......

Siku nyingine pambana na hali yako hilo swali kuhusu inaonekana kwenu sijui matajiri ingekuwa umeniuliza mimi wakati wa msiba ningekuzabua ngumi moja ya mdomo ili nikuvimbishe domo maana haukwenda kumpa kampani mwenzako bali ulienda kuchunguza maisha yao......

Huo ni ushamba wa hali ya juu hivyo vitu ni vyakawaida sana kutokea nimambo ya kuremove stress..

Wezi tu hamna lolote.
 
Ujumbe umekufikia. Maana hujaja tena na uchafuzi wako wa lugha ya Malkia.
Huo ni ushamba wa kipopoma kiingereza ni Lugha kama lugha nyingine kujua wala kutokujua au kuchapia sio swala la kipimo cha maarifa au kitu chochote na wala kukikosea is not a criminal offense, ni sawa na ningechapia kisukuma au kimasai.

Badilikeni huo utumwa wa fikra anapaswa kuwatoka kwanza ndo muwaze maendeleo. Don't think small, you will remain small for life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujuwi hujuwi tu. Usitafute pakutokea.
Huo ni ushamba wa kipopoma kiingereza ni Lugha kama lugha nyingine kujua wala kutokujua au kuchapia sio swala la kipimo cha maarifa au kiru chochote na wala kukikosea is not a criminal offense, ni sawa na ningechapia kisukuma au kimasai.

Back
Top Bottom