Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wakenya mliokuwa mnacheka station ya Soga hapa inabidi mlie kabisa. Station kama stendi ya bus za mjini (Dar). Compare and contrast
tapatalk_1567872075013.jpeg
images-5.jpeg
 
Wakenya mliokuwa mnacheka station ya Soga hapa inabidi mlie kabisa. Station kama stendi ya bus za mjini (Dar). Compare and contrastView attachment 1200907View attachment 1200908

Hio ya kwenu hayo mabati shed ndo stesheni, Huku kwetu hio shed ya kuzulia jua/mvua kama unapanda treni ni just that - a shed! Stesheni yenyewe utaipata nyuma/mbele yake, Kwa mfano hapo Kwa hio picha ni Suswa station boarding platform, stesheni yenyewe hapo nyuma inakaa hivi

P3JW3B9PhqIo2tQ93msJy6hswquHsi5KjoRFQFu6FbIsIRlGoBgCiMhQJgD4YB2PwN4eUcbSRBkdtKnTtGoztpj4wmM=s750

Sasa unaweza kuendelea ku compare and contrast
 
Poor designing!! Sehemu ya muhimu wamelipu lipua. Kumbe ata yale ma Mombasa na Nairobi Terminus kwa nyuma yapo hivyo! Hapo mtu anaweza ata aka anguka maana ukishuka kwenye train inabidi uambae juu ya msingi mpaka ulifikie jengo. Hii KIBWEZI STATION ime ezekwa na mabati kama ambayo umetoka kuya kejeli ya station za BRT. In short station zenu zina mkosesha passenger ile firts class experience.
 
Wacha ushamba wewe. train steshen zote hua ziko na bording platform kama hivyo, Alafu treni yenyewe inapita karibu na hapo ikisimama hakuna nafasi inabaki!

writer_gets_online_b5b4de0274c39d.jpg

Hii hapa reli inayojengwa na Yepi Merkezi kule Ethioipia, Ukiangalia stesheni inafanana na hizo zenu kabisa!

mMpeDq2.jpg

Hizo bording platform zenu zitakaa hivi

v3Ybfoa.jpg

kombolchastationh2sv1.jpg

😇
Hata afadhali zetu mara mia, hizi zinakaa kama cow shed!
 
[emoji56]
Hata afadhali zetu mara mia, hizi zinakaa kama cow shed!
Waa very ugly, kwani mlipewa bure [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka tujenge vitu ugly ka hizo zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hio post ulio quote ni bording platform za Ethiopia zinazojengwa na Yepi merkezi 😂😂😂😂😂 Hizo ndo zitakua zenu 😇🤩🥳

BTW, hizo stesheni zenu kweli ni choo kabisa!! Hebu angalia vile zinafanana

Public toilet
macha2.jpg

Tz SGR station
maxresdefault.jpg
 
Si hata Msamvu morogoro bus stage ni nzuri kuliko viwanja vyote vya ndege kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukatae ukubali treni yenu mbaya kinoma yaani ni kama mlipewa bure.
Hio post ulio quote ni bording platform za Ethiopia zinazojengwa na Yepi merkezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo ndo zitakua zenu [emoji56][emoji2956][emoji3060]

Sisi tunaongelea stesheni wewe umeruka kwa sura ya treni.... mara sasa unataka kuingiza viwanja vya ndege !!!!

Kwa sasa hakuna nchi yoyote Africa ina stesheni nzuri nzuri kulikostesheni za Kenya,, ukubali ukatae hilo hauwezi kugeuza, hata hizo stesheni zimeanzakua vivutio vya watalii waafrika

Hichi choo kinafanya nini hapa 😛😛
maxresdefault.jpg
I see the TZ SGR is taking shape. From the picture of the locomotive and that building(I don't know what to call it, it surely cannot be a station) It's very clear there is nothing to right home about. The only comparable thing between the two projects is the cost, as the title of the thread rightfully puts it. please let's stick to cost comparison!!!!!
 
Hio post ulio quote ni bording platform za Ethiopia zinazojengwa na Yepi merkezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizo ndo zitakua zenu [emoji56][emoji2956][emoji3060]

BTW, hizo stesheni zenu kweli ni choo kabisa!! Hebu angalia vile zinafanana

Public toilet
macha2.jpg

Tz SGR station
maxresdefault.jpg
Acha uchokozi bana[emoji23][emoji23]
 
Poor designing!! Sehemu ya muhimu wamelipu lipua. Kumbe ata yale ma Mombasa na Nairobi Terminus kwa nyuma yapo hivyo! Hapo mtu anaweza ata aka anguka maana ukishuka kwenye train inabidi uambae juu ya msingi mpaka ulifikie jengo. Hii KIBWEZI STATION ime ezekwa na mabati kama ambayo umetoka kuya kejeli ya station za BRT. In short station zenu zina mkosesha passenger ile firts class experience.
yaani mangazi ngazi utasema ni zilr stations zilizojengwa na mkoloni 1960s
 
Hata hio kibwezi ambayo unataka kuiponda bado ni nzuri mara 10 zaidi kushinda hio BRT platform, hata usianzishe huu mchezo manake zile stesheni zenu zinafanana na Public toilets zetu.

DlNTqT5XoAIid6M

DeB-0W_WkAAfJCd

DeB-vfkX4AEepg7
vichaka station
 
Hichi choo kinafanya nini hapa 😛😛
maxresdefault.jpg
hiko ni kituo kidogo hatuna haja yakutengeneza mkituo mkubwa kila sehemu angali hiyo sehemu si ya mzunguko ....hatutaki matumizi mabaya ya kifedha ila wait main stations utaelewa .....how tuko bright n better kuliko nyie
 
Nchi maskini pekee ndio inaezajenga ujinga kama hizi in the name of Railway Station
 
Back
Top Bottom