Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nairobi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilivyoianzisha hii thread hilo ndo lilikuwa dhumuni ila majirani wakaanza fitna! Angalia post za mwanzo!Mimi nadhani mjadala ujikite zaidi kwenye tija ya hizi railway/routes. Nini uhusiano baina ya gharama zilizotumika/uwepo wake na maendeleo yetu/chumi zetu.
Iko dhahili kuwa Chinese structures ni eye catching. Cha msingi ni kujifunza kwa kile kilichofanyika tayari. Kenyans mjifunze umuhimu wa kufanya feasibility studies wenyewe. That way unapata unachotaka/hitaji.
Ninavyoona stations ubora wake hutegemeana na malengo na matarajio. Iwe zimejengwa kwa concrete au glass.
Pia sisi Tz tujifunze kutokana na mradi huu kushindwa kufikia deadline. Mvua zinaeleweka na kutabirika. Huenda tulikadiria muda mfupi zaidi maana hakuna kipindi mradi ulikuwa stagnant.
Construction of the roads to the stations ongoing.wenzetu kaskazini Mchina haruhusu picha Kama hizi, wana waonyesha mdomo tu wa handaki kweli pesa za mkopo zina vigezo 😂
Kabisaa...
Mtu ana container kumi halafu aje kwako wewe mwenye lorry moja, si mtu ataona heri atafute kampuni kubwa yenye magari nafaka..
Yani ukishawapa dili tosha
Construction of the roads to the stations ongoing.
View attachment 1254293
Kitu kimejengwa ndani ya mashamba ya Kenyatta!Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.
Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.
Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Kitu kimejengwa ndani ya mashamba ya Kenyatta!
Kwani Suswa na Maimahiu wanaishi ngombe? eti ziko porini. Shughulikeni na ujenzi wa sgr yenu iliyokwama. Uganda watamaliza SGR yao kabla ata hamjafika dodomaHapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.
Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
kulocate hizo stations 'porini' ni deliberate intentional na well thought. Tunaona mbali si kama nyinyi mnaona sasa hivi.Do this, enda miritini ama emali and compare now and three years ago..Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.
Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Construction of the roads to the stations ongoing.
View attachment 1254293
Mnaona mbali kwani nyinyi ndiyo mlio design! Huo mradi kuanzia Financier, Feasibility, construction, consultant mpaka sasa operater ni mchina nyinyi mmetoa ardhi tu nukabaki mnapewa kazi za ulinzi na kusafisha vyoo. Lately mnazugwa kwa kufundishwa kuendesha train.kulocate hizo stations 'porini' ni deliberate intentional na well thought. Tunaona mbali si kama nyinyi mnaona sasa hivi.Do this, enda miritini ama emali and compare now and three years ago..
Hakuna tofauti kabisaaaa!!!!Tofauti ya hii kibanda na zile public toilets Machakos county tofauti ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1252631
Si uko na love/hate relationship na Nation Media, wakati mwengine unapiga kelele kwamba ni propaganda media ya Kenya lakini ukifurahishwa na taarifa hio ndo unaitumia kama chanzo...![]()
First phase of Dar SGR likely to miss deadline slowed by rains
Sources say the current short rains have slowed laying of the tracks on concrete sleepers.www.theeastafrican.co.ke
Afadhali hizi market stalls in rural KenyaHakuna tofauti kabisaaaa!!!!
Watanzania hua mnachekesha sana, eti "Kenyans mjifunze umuhimu wa kufanya feasibility studies wenyewe.That way unapata unachotaka/hitaji." Sasa tuna nini cha kujifunza??? Reli yenu imekamilika? Je Tanzania imepata kile inachohitaji? Hamna lolote ambalo mmefanya hadi sasa, funga bakuli, subiri reli yenu ianze kufanya kazi alafu ndo ujifanye mwerevu wa kutoa mawaidha!Mimi nadhani mjadala ujikite zaidi kwenye tija ya hizi railway/routes. Nini uhusiano baina ya gharama zilizotumika/uwepo wake na maendeleo yetu/chumi zetu.
Iko dhahili kuwa Chinese structures ni eye catching. Cha msingi ni kujifunza kwa kile kilichofanyika tayari. Kenyans mjifunze umuhimu wa kufanya feasibility studies wenyewe. That way unapata unachotaka/hitaji.
Ninavyoona stations ubora wake hutegemeana na malengo na matarajio. Iwe zimejengwa kwa concrete au glass.
Pia sisi Tz tujifunze kutokana na mradi huu kushindwa kufikia deadline. Mvua zinaeleweka na kutabirika. Huenda tulikadiria muda mfupi zaidi maana hakuna kipindi mradi ulikuwa stagnant.
Hivi unajua miji ya Voi, Nairobi, Nakuru ilikua ni pori reli ya mkoloni ilipokua inajengwa???Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.