Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nairobi
IMG_20191104_092203.jpg
 
Mimi nadhani mjadala ujikite zaidi kwenye tija ya hizi railway/routes. Nini uhusiano baina ya gharama zilizotumika/uwepo wake na maendeleo yetu/chumi zetu.

Iko dhahili kuwa Chinese structures ni eye catching. Cha msingi ni kujifunza kwa kile kilichofanyika tayari. Kenyans mjifunze umuhimu wa kufanya feasibility studies wenyewe. That way unapata unachotaka/hitaji.

Ninavyoona stations ubora wake hutegemeana na malengo na matarajio. Iwe zimejengwa kwa concrete au glass.

Pia sisi Tz tujifunze kutokana na mradi huu kushindwa kufikia deadline. Mvua zinaeleweka na kutabirika. Huenda tulikadiria muda mfupi zaidi maana hakuna kipindi mradi ulikuwa stagnant.
 
nilivyoianzisha hii thread hilo ndo lilikuwa dhumuni ila majirani wakaanza fitna! Angalia post za mwanzo!
 
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.

Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Construction of the roads to the stations ongoing.
View attachment 1254293
 
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.

Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Kitu kimejengwa ndani ya mashamba ya Kenyatta!
 
Yani unaadika kistaarabu kweli..
Nimeanimini tanzania unafiki ni taaluma, yani jamaa unaiponda sgr ya kenya kw lugha nzyri sana hku ukijifanya huoni mapungufu yyte katika reli yenu...

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]safi sana jomba
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.

Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
 
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.

Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Kwani Suswa na Maimahiu wanaishi ngombe? eti ziko porini. Shughulikeni na ujenzi wa sgr yenu iliyokwama. Uganda watamaliza SGR yao kabla ata hamjafika dodoma
 
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.

Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
kulocate hizo stations 'porini' ni deliberate intentional na well thought. Tunaona mbali si kama nyinyi mnaona sasa hivi.Do this, enda miritini ama emali and compare now and three years ago..
 
Mnaona mbali kwani nyinyi ndiyo mlio design! Huo mradi kuanzia Financier, Feasibility, construction, consultant mpaka sasa operater ni mchina nyinyi mmetoa ardhi tu nukabaki mnapewa kazi za ulinzi na kusafisha vyoo. Lately mnazugwa kwa kufundishwa kuendesha train.
 
Si uko na love/hate relationship na Nation Media, wakati mwengine unapiga kelele kwamba ni propaganda media ya Kenya lakini ukifurahishwa na taarifa hio ndo unaitumia kama chanzo...

Anyway, mbona round hii hawajasema wako behind schedule na percentage ngapi? mwaka jana walikua 4% behind schedule na daraja la Dar lilikua limemalizwa by July mwaka huu..

Construction of the the railway bridge, according to Marwa will be completed in July 2019.
In totality, construction of Tanzania SGR is at a 15 percent mark, although Tanzania Railway Limited(TRL) managing Directo Masanja Kadogosa says that the project is behind schedule by 4 percent mainly caused by heavy rains that have been witnessed in the east African nation. Construction work on Tanzania SGR in top gear - CCE l ONLINE NEWS
 
Mimi nadhani mjadala ujikite zaidi kwenye tija ya hizi railway/routes. Nini uhusiano baina ya gharama zilizotumika/uwepo wake na maendeleo yetu/chumi zetu.

Iko dhahili kuwa Chinese structures ni eye catching. Cha msingi ni kujifunza kwa kile kilichofanyika tayari. Kenyans mjifunze umuhimu wa kufanya feasibility studies wenyewe. That way unapata unachotaka/hitaji.

Ninavyoona stations ubora wake hutegemeana na malengo na matarajio. Iwe zimejengwa kwa concrete au glass.

Pia sisi Tz tujifunze kutokana na mradi huu kushindwa kufikia deadline. Mvua zinaeleweka na kutabirika. Huenda tulikadiria muda mfupi zaidi maana hakuna kipindi mradi ulikuwa stagnant.
Watanzania hua mnachekesha sana, eti "Kenyans mjifunze umuhimu wa kufanya feasibility studies wenyewe.That way unapata unachotaka/hitaji." Sasa tuna nini cha kujifunza??? Reli yenu imekamilika? Je Tanzania imepata kile inachohitaji? Hamna lolote ambalo mmefanya hadi sasa, funga bakuli, subiri reli yenu ianze kufanya kazi alafu ndo ujifanye mwerevu wa kutoa mawaidha!
 
Hapa pana somo la kujifunza kuhusu location ys stations. Looks like ziko locate kati ya mapori hivyo kuifikia tu station ni safari tosha acha safari yenyewe. Kwenye location ya stations, nadhani SGR KE ina mengi ya kujifunza toka SGR Tz.

Stations zapaswa kuwa kwenye makazi ya watu hasa kwa hizo ndogo ndogo mf Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, nk. Vinginevyo convinience ya huduma yenyewe itakuwa compromised. Ndiyo hapo vitu vinaanzaga kuwa white elephants.
Hivi unajua miji ya Voi, Nairobi, Nakuru ilikua ni pori reli ya mkoloni ilipokua inajengwa???

Stesheni zetu zimewekwa kando ya mji ili kuanzisha upya maeneo ya uchumi, sahii mashamba karibu na stesheni za SGR yamepanda bei manake kila mtu anahamia huko, hii inafanya miji kupanuka na kuondoa msongamano wa watu,nyumba mahali pa moja ndaani ya mji.
Hebu angalia vile kijiji cha emali kimeamka na kupanuka kwasababu ya SGR, kila mtu anauza mashamba huko ambako kitambo ilikua porini, yote kwasababu SGR station ilijengewa huko 'porini'. hadi sasa huko "porini" kunajengwa gated community.

Huyu hapa mwengine anauza kiwanja ambapo hapo mbeleni ilikua ni 'porini'

Ukiingia mtandaoni utapata video nyingi kama hizo, hayo maenea yanainuka sio mchezo....

Angalia barabara ya kuelekea SGR station Mombasa, hilo eneo la miritini lilikua ni kichaka kote, sasa ukichanganya SGR na hio barabara inakaa kama Europe, huko mirini ndo kwa kuishi sasa, bila hio SGR hilo eneo lingebaki kua "porini"

--------------------------------------

Hili eneo

-----------------------------------
Alafu hata bila kuongelea kuhusu hayo hapo juu, SGR ya kenya hua inajaa zaidi ya 90% kati kati ya wiki na kuanzia Fri,Sat,Sun,Monday hua iko fully booked 100%, hao watu unafikiri wanatoka wapi kama si huko porini??? sasa unataka tujifunze nini kama treni hua tayari zimejaa abiria????? unataka tujifunze kutoka SGR ya TZ ambayo hata haijafika?????...... Pale ambapo hizo stesheni zenu zilizojengwa kati kati ya miji zitafanyikiwa kubeba zaidi ya abiria million moja kwa mwaka kama hizi zetu zimeweza kufanya, hapo ndo utakua unaruhusa ya kuja hapa kutuambia tuna cha kujiunza kutoka kwenu! Kwasasa baki na mawaidha yako!
 
Back
Top Bottom