Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Treni yetu na yenu ipi ina kasi zaidi!?
Ipi ina comfortability haina mitikisiko!?
Nasubiri hayo majibu hapo.
Ipi inabeba mzigo mkubwa per trip, ipi inagharama nafuu per trip na kiundeshaji kwa ujumla, reli ipi inaendeshwa na shirika la reli la nchi?
 
Waganda wameamua 😁😁!
Specs zao ni superior kuliko zenu. Cargo yao inatembea 100kph unlike yenu 80kph, train length yao ni 880m yenu ni 800m, traction power ni electric yenu ni garimoshi, passengers train specs allow for double decker coaches pia.
Kila mtu anajipima nguo kutokana na mfuko wake 😁
 
Back
Top Bottom