ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
CCM na uchumi wapi na wapi? Labda watengeneze fursa ya kuiba tuuCCM mnatuchanganya!! Si mliashaanzisha sovereign wealth fund (SWF) na kwamba mapato ya gesi na madini mengine yawekwe huko for future investments.
Mtuambie kwanza imefia wapi kabla ya kubuni mifuko mingine.
Eeh kila taasisi au mfuko wanaoanzisha CCM ni kujitengenezea tu ulaji na kufilisi nchi.CCM na uchumi wapi na wapi? Labda watengeneze fursa ya kuiba tuu
Zilikuwa za kujenga Barabara za Tarura na mambo ya AfyaChoiceVariable tuliwekewa tozo tukaambiwa hizo zote zitaenda kwenye miundombinu.
Lakn hamna kitu tunafanya.
Changamoto ya hii nchi ni usimamizi thabiti wa fedha za umma.
Ukiacha Kodi,migodi yote Serikali inapata mrabaha na tozo mbalimbali.hahaha madini yepi hayo? yani rostamu auze madini ya tanzagiza aliyopora halafu hela aingize kwenye mfuko wa tanzagiza? unaota nafikiri au umesahau kunywa dawa zako leo labda ? …
Jadili hojaKuanzia nyie machawa mpaka viongozi wenu wote akili zimeyumba
Si kweli,Kwa Sasa ukiuliza hela za Madini ziko wapi huwezi pata majibu stahiki maana zinaingia kapu kuu so Bora kuwe na Mfuko wa Madini Kwa mujibu wa sheria na fedha zake zielekezwe kwenye sekta muhimu tuu za miundombinuEeh kila taasisi au mfuko wanaoanzisha CCM ni kujitengenezea tu ulaji na kufilisi nchi.
Uchumi ulivyo sasahivi nani wameufikisha hapo?CCM na uchumi wapi na wapi? Labda watengeneze fursa ya kuiba tuu
Hakuna hoja yoyote kutoka kwa machawa na viongozi waoJadili hoja
Hakuna kitu kama hicho Hadi saizi ,ndio inatakiwa waanzishe na pesa zake zitungiwe sheria ya matumizi yake.CCM mnatuchanganya!! Si mliashaanzisha sovereign wealth fund (SWF) na kwamba mapato ya gesi na madini mengine yawekwe huko for future investments.
Mtuambie kwanza imefia wapi kabla ya kubuni mifuko mingine.
Kama huna hoja pita kushotoHakuna hoja yoyote kutoka kwa machawa na viongozi wao
Yatalindwa na sheria ila Kwa Sasa yanaweza fanyika vyovyoteUsishangae mauzo ya hayo madini yakatumika kununua silaha za kuhakikisha ccm inabaki madarakani, kulipa watu wasiojulikana, kulipa wakatoliki fake na upuuzi wa aina hiyo.