Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
watuambie bwawa la Nyerere limeanza kufua umeme mbona hatuoni nafuu ya umeme. tukaongeza uwekezaji#?CCM na uchumi wapi na wapi? Labda watengeneze fursa ya kuiba tuu
Nipite kushoto ipi, machawa na viongozi wako akili zenu zipo tengeKama huna hoja pita kushoto
Sheria ipi inafuatwa hapa nchini zaidi ya matakwa ya majizi? Mikataba yote ya raslimali kuna sheria inataka ikajadiliwe na bunge kwanza, hilo linafuatwa? Au uko usingizini nini boss?Yatalindwa na sheria ila Kwa Sasa yanaweza fanyika vyovyote
Kuna mtu anafuata sheria hii nchi? Ndio maana nakuambia machawa hamna akiliYatalindwa na sheria ila Kwa Sasa yanaweza fanyika vyovyote
Kwani uliambiwa utapata nafuu gani?watuambie bwawa la Nyerere limeanza kufua umeme mbona hatuoni nafuu ya umeme. tukaongeza uwekezaji#?
Machawa hao toka lini wakawa na akili?Sheria ipi inafuatwa hapa nchini zaidi ya matakwa ya majizi? Mikataba yote ya raslimali kuna sheria inataka ikajadiliwe na bunge kwanza, hilo linafuatwa? Au uko usingizini nini boss?
Ndio,Kuna mtu anafuata sheria hii nchi? Ndio maana nakuambia machawa hamna akili
Sio mikataba yoteSheria ipi inafuatwa hapa nchini zaidi ya matakwa ya majizi? Mikataba yote ya raslimali kuna sheria inataka ikajadiliwe na bunge kwanza, hilo linafuatwa? Au uko usingizini nini boss?
Mkuu si mlisema mabeberu wanawaonea wivu...na wasiwapangie cha kufanya...tulia sindano ziwaaingieNatambua haja ya serikali kupata fedha za haraka Kwa kuuza Akiba kubwa ya dhahabu Ili kupata pesa za kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu inayoendelea hasa SGR.Soma hapa (1) Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu | JamiiForums Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu
Pamoja na Hilo ni vyema Ukaundwa Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo utakuwa unatumia fedha kutoka vyanzo vyote vya Madini.
Tukiwa na huo Mfuko then tuainishe aina ya miundombinu ambayo itapewa kipaombele.
Kwa Hali ya Sasa fedha za Madini zinaingia Mfuko wa Serikali na Hazina specific use na ndio maana uki trace kujua tumenufaikaje ni ngumu kutaja specific projects matokeo yake watu watakwambia hawajui pesa inakoenda.
Kama Serikali utaona inafaa ichukue wazo hili Ili baadya miaka 10 tutakuwa na Cha kuonesha.
Kama imewezekana kwenye tozo ya Mafuta kuwa chanzo Cha Mapato ya Tarura hata hili la Madini litawezekana.
Naomba kuwasilisha.
View: https://www.instagram.com/p/DUD_WpwjDnw/?igsh=MXJxcW1lcDlpamsycA==
Mama twafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNatambua haja ya serikali kupata fedha za haraka Kwa kuuza Akiba kubwa ya dhahabu Ili kupata pesa za kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu inayoendelea hasa SGR.Soma hapa (1) Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu | JamiiForums Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu
Pamoja na Hilo ni vyema Ukaundwa Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo utakuwa unatumia fedha kutoka vyanzo vyote vya Madini.
Tukiwa na huo Mfuko then tuainishe aina ya miundombinu ambayo itapewa kipaombele.
Kwa Hali ya Sasa fedha za Madini zinaingia Mfuko wa Serikali na Hazina specific use na ndio maana uki trace kujua tumenufaikaje ni ngumu kutaja specific projects matokeo yake watu watakwambia hawajui pesa inakoenda.
Kama Serikali utaona inafaa ichukue wazo hili Ili baadya miaka 10 tutakuwa na Cha kuonesha.
Kama imewezekana kwenye tozo ya Mafuta kuwa chanzo Cha Mapato ya Tarura hata hili la Madini litawezekana.
Naomba kuwasilisha.
View: https://www.instagram.com/p/DUD_WpwjDnw/?igsh=MXJxcW1lcDlpamsycA==
Leo report yako itaenda vizuri maana tunakupa engagement ya kutoshaNdio,
Lengo la kuuza dhahabu ni kupunguza kukopa ambako na wakopeshaji wanatumia kama fimbo ya Kisiasa.Mkuu si mlisema mabeberu wanawaonea wivu...na wasiwapangie cha kufanya...tulia sindano ziwaaingie
Ni ipi inatakiwa iende na kwanini sio yote? Ok tuchukulie sio yote, toka hiyo sheria imetungwa ni mkataba upi umewahi kupelekwa huko bungeni? Ama bado haijatokea hiyo raslimali ya kujadiliwa huko?Sio mikataba yote
Bado,lakini pia wawekezaji wa Kimataifa hawapendi Siri za biashara ziwe public,huko kwenye kamati inatoshaNi ipi inatakiwa iende na kwanini sio yote? Ok tuchukulie sio yote, toka hiyo sheria imetungwa ni mkataba upi umewahi kupelekwa huko bungeni? Ama bado haijatokea hiyo raslimali ya kujadiliwa huko?
Kwa nini mwananchi wa chini asifungiwe umeme kwa Tsh. 27,000, kiasi cha kuongeza walipa matumizi. Pia kwa nini wasipunguze gharama za umeme mijini ili kuepuka matumizi ya mkaa na gas ambayo vipo juu. kweli mnamjari Mtanganyika wa chini awe na maisha bora?Kwani uliambiwa utapata nafuu gani?
Bwawa lililenga kuwa na uhakika wa umeme Kwa Ajili ya uwekezaji kama hivi
View: https://www.instagram.com/p/DUBOMRPiMgy/?igsh=dDJ5dm9wcGNpand5
mikataba mingi inakuwa na ubadhirifu balaa,viongozi watz hawakubali mkataba uwapite ivi ivi bila kuibaSio mikataba yote
Ukiacha Kodi,migodi yote Serikali inapata mrabaha na tozo mbalimbali.
Rostam ni muwekezaji analipa hayo nilivyoeleza hapo Juu
View: https://www.instagram.com/p/DUDQ4cRDaGy/?igsh=MThqZXZzeGN2aHVzOQ==
Huu ni udhaifu wa mtu mmja mmja au kikundi kuliko Taasisimikataba mingi inakuwa na ubadhirifu balaa,viongozi watz hawakubali mkataba uwapite ivi ivi bila kuiba
Uongohalipi hata shilingi, is a criminal …
Hiyo bei ni Kwa Ajili ya watu wa Vijijini na Vitongoji vya pembezoni mwa Miji.Kwa nini mwananchi wa chini asifungiwe umeme kwa Tsh. 27,000, kiasi cha kuongeza walipa matumizi. Pia kwa nini wasipunguze gharama za umeme mijini ili kuepuka matumizi ya mkaa na gas ambayo vipo juu. kweli mnamjari Mtanganyika wa chini awe na maisha bora?