Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Wanaofanya majadiliano ya mikataba ya serikali sio kamati ni nani?
Hiyo sio hoja kama walishiriki kuandaa or not, issue ni kwamba sheria ya Tanzania extractive industry transparency inataka mikataba yote tuliyoingia na mwekezaji (kumbuka tunakua na undiluted shares za 16%) kwenye uchimbaji madini au gesi, lazima kila clause ijadiliwe bungeni. Na pia kuwepo na review ya utekelezaji wa mkataba kila mwaka inatolewa progress.

Haya yote hayafanyiki ila mtu unakomaa kuwa mkataba ni siri!! Sasa kama ni siri hii sheria ilipitishwaje na kwanini isifutwe?
 
Aliyetunga hiyo sheria alikuwa mjinga,hakuna sheria ya hivyo hapa Duniani.
 
Sio vzr kuuza dhahabu, maana iliimarisha TZS dhidi ya foreign exchange.

Ila kihesabu, it's time ya kuziuza, maana zimepanda saana, I think tukizinunua wakati wa 4000USD per ounce of Gold ila kwa sasa bei yake ni 5500USD per ounce,

So in each ounce kuna gain ya 1500USD kwa tani 17 tulizonazo. Taifa litagain around 17*1000*35*1500=900,000,00USD.

Anaweza kuzinunua tena bei ikishuka ila faida ya almost 1B sio mbaya,

Anaweza nunua ndege hata 20, au hospitali za nilioni 200USD (kama mloganzila) zikiwa 5,

With just profit gained from selling the 17tonnes of gold.
 
Aliyetunga hiyo sheria alikuwa mjinga,hakuna sheria ya hivyo hapa Duniani.
We nae, yaani kuweka wazi mapato, matumizi, mgawanyo wa faida na hasars, michango, directors, kuvunja mkataba, uhihishaji, usuluhishi, ndiyo unasema inahitaji usiri? Hii nchi inavituko siyo kidogo.
 
Norway ipo
Senegal ipo
Ghana ipo

Tena Senegal ni lazima mkataba ukishaidhinishwa na bunge uwekwe mtandaoni
Nitajie mradi hata mmja uliopelekwa Bungeni kujadiliwa kifungu Kwa kifungu page Kwa page kwenye hizo Nchi weka video hapa
 
uyo jamaa anazingua hakunaga siri kwenye mali za umma
 
CCM mnatuchanganya!! Si mliashaanzisha sovereign wealth fund (SWF) na kwamba mapato ya gesi na madini mengine yawekwe huko for future investments.

Mtuambie kwanza imefia wapi kabla ya kubuni mifuko mingine.
Hapa iwapo sii gia ya chukua chako mapema hata sijui!
 
Nitajie mradi hata mmja uliopelekwa Bungeni kujadiliwa kifungu Kwa kifungu page Kwa page kwenye hizo Nchi weka video hapa
Hata sijui tunabishana nini, sheria mmetunga wenyewe CCM na inataka MIKATABA IPELEKWE BUNGENI alafu unataka ushahidi wa nchi zingine zilizofanya hivyo!! Umeshaambiwa bado unataka video

Sasa mlipitisha sheria ila hamuwezi tekeleza mpaka muone video ya wazungu wanavyojadili mikataba?

Na unaongea kwa confidence kabisa!!
 
Under the stewardship of this fazafaka, Tanzania is headed for a cliff. The TZS/USD exchange rate is already responding!
 
Aliekuwambia Gold saiv ni 5500 nani bei ni 4800 current price! Kwanini wauze sasa wana uharaka gani Gold inapanda zaid probably 7k this year kwanini wasiwe na timing nzuri why now why now hatukatai kuuza ila timing ndo muhim
 
Baada ya kuuzwa dhahabu iuzwe bandari ya Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…