Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Il
ilikuwapo/ ilianzishwa Samia bond, kwa kazi mahsus ya miundombinu ya barabara je...Iko wapi?
 
Waweke kodi ya miundombinu kwenye export ya madini.

Let's say 0.5% ya value ya export.
 
Hiyo dhahabu siyo inauzwa, imepelekwa kwa mabeberu! Ilikuwa ni sharti walilotoa mabeberu kwamba apeleke dhahabu au wamshughulikie.
Mabeberu si wakuwachezea wale. Uzuri na VATKANI wemepata mgao,hii safari ya juzi waliipeleka dhababu huko Uitaliano.😁😁😁
 
Mkuu hizi hesabu zako ni kama vile ume assume tunaongozwa na watu/viongozi honest saana au malaika kabisa...hii serikali ya mama upigaji uko juu sana na kwakuwa usimamizi ni mdogo tegemea % 50 tu ya kitachouzwa kurudi kwa wananchi kuendesha hizo project wanazodai kuziendelezai!.
Umesahau mama aliwaambiaga mawaziri wake anashangaa mbona wanakula hadi wanavimbiwa?!.
 
You said correctly,

I always believe, matatizo ya nchi za kiafrica sio pesa, tatizo moja kubwa ni uaminifu na wizi,

Hata tatizo la ajira kwa watanzania ni kwa sababu wenye pesa wameshapigwa saana, wanaogopa kuwekeza wanahifadhi hela zao kwenye viwanja, majumba, na fixed deposit banks.

Yaani hata ukimuajiri shekhe swala tano, au mchungaji bado atakupiga Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…