njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
aliambiwa alipe milion 500 akaenda kumlilia majizzo wa efm ambaye inasemekana harmonize anamuheshimu kupita kiasi ndipo ikabidi konde gang wafoji mkataba kuonyesha alikuwa na mkataba wa miaka 2 umeisha na yuko released kumbe ilikuwa 10 yearsHaha..bado kusema ametakiwa atoe Milioni ngapi kuvunja mkataba
Duh!aliambiwa alipe milion 500 akaenda kumlilia majizzo wa efm ambaye inasemekana harmonize anamuheshimu kupita kiasi ndipo ikabidi konde gang wafoji mkataba kuonyesha alikuwa na mkataba wa miaka 2 umeisha na yuko released kumbe ilikuwa 10 years
Kumbe basi Konde hakuonewa kule Wasafi kama naye anarudia yaleyaleAliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.
Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo.
Koh koh koh koh ........... jeshiii
Hapana..mi mpenz wa any gud music..from evere badeNa wewe ni shabiki wa kondeboy?
Nipe mkono tushindaneWasanii wetu ni vilaza sana ina maana hakuuona huo mkataba kuwa una mbana tangu mwanzo
Wewe utakuwa ni mmakonde mwenzako Ndio maana unamtetea mtu analalamika mpaka analia, kama alivyotoka mapovu pale airport asubili na yeye malalamiko pale ambapo wasanii wake watajitoa kwenye label
ushaamua kukaza kichwa, endelea kujua unachojuaWewe utakuwa ni mmakonde mwenzako Ndio maana unamtetea mtu analalamika mpaka analia, kama alivyotoka mapovu pale airport asubili na yeye malalamiko pale ambapo wasanii wake watajitoa kwenye label yake
Mara nyingi hatusomi mikataba uongo dhambi. Bora kua na mwanasheria akuongoze kabla ya kusign.Kwani alipo sign mkataba mwanzoni hakuliona hicho kipengele,
Analalamika sahvi
Ova
Hiyo ni story ya upande mmoja. Piga hesabu tu Countryboy ana nyimbo ngapi akiwa wasafi...!!?? Na kwa miaka mingap? Utaona kuna walakin kwenye hayo maneno yake..Mara nyingi hatusomi mikataba uongo dhambi. Bora kua na mwanasheria akuongoze kabla ya kusign.
Ndio maana hata kwenye installation ya software tunakimbilia kubonyeza nmekubali vigezo na masharti huku hujavipitia.
Huyo wakumpuuza alikuwa anadai WCB walikuwa wanambania, yy anawabania wasanii wake kila mwezi anatoa nyimbo yy, hana muda hata wa kuzipigia promo nyimbo za wasanii wake,kila siku yeye tu.Kumbe basi Konde hakuonewa kule Wasafi kama naye anarudia yaleyale