Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

Haha..bado kusema ametakiwa atoe Milioni ngapi kuvunja mkataba
aliambiwa alipe milion 500 akaenda kumlilia majizzo wa efm ambaye inasemekana harmonize anamuheshimu kupita kiasi ndipo ikabidi konde gang wafoji mkataba kuonyesha alikuwa na mkataba wa miaka 2 umeisha na yuko released kumbe ilikuwa 10 years
 
Duh!
 
Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.

Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo.

Koh koh koh koh ........... jeshiii
Kumbe basi Konde hakuonewa kule Wasafi kama naye anarudia yaleyale
 
Kwani alipo sign mkataba mwanzoni hakuliona hicho kipengele,
Analalamika sahvi

Ova
 
Wewe utakuwa ni mmakonde mwenzako Ndio maana unamtetea mtu analalamika mpaka analia, kama alivyotoka mapovu pale airport asubili na yeye malalamiko pale ambapo wasanii wake watajitoa kwenye label

Wewe utakuwa ni mmakonde mwenzako Ndio maana unamtetea mtu analalamika mpaka analia, kama alivyotoka mapovu pale airport asubili na yeye malalamiko pale ambapo wasanii wake watajitoa kwenye label yake
ushaamua kukaza kichwa, endelea kujua unachojua
 
Kwani alipo sign mkataba mwanzoni hakuliona hicho kipengele,
Analalamika sahvi

Ova
Mara nyingi hatusomi mikataba uongo dhambi. Bora kua na mwanasheria akuongoze kabla ya kusign.

Ndio maana hata kwenye installation ya software tunakimbilia kubonyeza nmekubali vigezo na masharti huku hujavipitia.
 
Hiyo ni story ya upande mmoja. Piga hesabu tu Countryboy ana nyimbo ngapi akiwa wasafi...!!?? Na kwa miaka mingap? Utaona kuna walakin kwenye hayo maneno yake..
 
Kumbe basi Konde hakuonewa kule Wasafi kama naye anarudia yaleyale
Huyo wakumpuuza alikuwa anadai WCB walikuwa wanambania, yy anawabania wasanii wake kila mwezi anatoa nyimbo yy, hana muda hata wa kuzipigia promo nyimbo za wasanii wake,kila siku yeye tu.

Wale Cheed na Killy wachomoke wakakomae wenyewe manake wameruka mkojo wakakanyaga kinyesi, ila ndio hivyo inawezekana nao hela ya kulipa mkataba hawana mwenzao Country Wizy kanyang'anywa mpaka gari.
 
Back
Top Bottom