Couple hizi zitavunjika

Couple hizi zitavunjika

Vipi kuhusu Offset na Cardio B [emoji16][emoji16]wasiachane nawapenda vichaa kabisa..
Ila Kuna maisha baada ya kuachana
Mie nawapenda Riri na bwaggx wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vanessa na butterchosse.
 
Ma couple ya Nguvu[emoji7]
Yesu Awatunze tu.....Silipendi kile kibwana chake Riri kipo utasema wale wahamiaji haramu wa kisomali[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada utaniudhi, nampenda yule jamaa balaaa, yaan swaggz zake mie ananirushaa stimu.

Breezy alikua anampotezea time Riri, japo Riri kwa Brieez alikufa kuoza. Woiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada utaniudhi, nampenda yule jamaa balaaa, yaan swaggz zake mie ananirushaa stimu.

Breezy alikua anampotezea time Riri, japo Riri kwa Brieez alikufa kuoza. Woiiii
Kwa hiyo huyo Msomali wako mdomo kama anaendesha fiat unampenda Nini?😁
 
Wee ni muongoo sanaa,

Kaacha mzikii yulee, afu mwanamke akishazaa all she care it abt her babies, izo album sijui nini, atakuwa anajiimbia mwenyewe. Sikia, ipo hizi kazi za sanaa zina uhai, yaan namaanisha msanii akitoa kazi ya sanaa ni kama kujifungua tu kwa ubongo. Sasa dada yetu vee kajifungua kwa mwili, i know she cant be emotional tena na kazi zakee, cause now she emotional invested to her babiess.
 
Ukimuacha baby mama wako, watu wanakanyaga kisha wanajifutia kisweta cha mwanao. There're some cowards out there. Bora mkubali kulea watoto wenu tu.
 
🤣🤣🤣🤣Kimetumia Nguvu za jadi?

Yaan sikutarajia wanyamwezi wote afu riri awe na mahusiano serious ya kuzaaa kabisaa. Ata wakipiga picha ya pamoja waweza sema kajamaa kapo na big sister.
 
Back
Top Bottom