Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Ile siku Paloma alikuwa beneath na Bujibuji Simba Nyamaume ,halafu tukaondoka kuelekea Maisha Club Oysterbay, kwenye Noah ya buji alikuwemo paloma, kipaji halisi, Figganigga na Madame B, mimi na buji.
 
Alafu hanaga noma [emoji28][emoji28] ona day nimekutana nae kino viwanja yupo vyomboo ila vibe tuu .. utu uzima dawa naona kapunguza makali na alikuwa ana shinda jukwaa la utu uzima dawa
Anakuambia kuhusu kuruka ukuta kwake wala sio tatizo....ilimradi usimletee shoo ya kijinga ya kitoto [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…