Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

Wacha watu wakule Maisha na Maisha sio magumu kama tunavyofikiri.
Tupunguze kukaza mafuvu...
Kuna Afande Chuga huko kamtegea mumwe mapanga bahati mbaya Sir.God kakataa okoto la mapema kwa Bwana yule..

Vijana wacha wadekeane...mana wanaume wengi ni ubwabwa now days.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
habari wadau.

hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi.

mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi yako ama biashara ya kuafford kumtunza girl friend. na girl friend nae akakupenda utajiona dunia ni yako.

na kwa mwanamke pia vile vile ukipata mwanaume anaekupenda kijana mwenzako utajiona dunia ni yako

View attachment 2860267
Toto la TIA watu wamejichapia sana ilikua ela yako tu. I hope atakua ametulia siku hizi otherwise mwamba ahesabie maumivu
 
Nimewafahamu leo kupitia mleta mada.

Ukiwa unazile mambo za kufuatilia udaku nadhani vitu kama hivi vitakufaa zaidi.
 
Kwa sababu wanacheka Cheka ukadhani wapo sawa?Hebu tupunguze Mkuu mitandaoni watu wanaigiza balaa wanaokula Bata na Raha za maisha hata hawaposti.Hao wenzio hata Hela sizani kama wanazo maana hata huko mitandaoni wanaingia Kutafuta hizo mia mbili mia mbili.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-08-17-16-20-00-45.jpg
    Screenshot_2023-08-17-16-20-00-45.jpg
    45.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom