Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toto la TIA watu wamejichapia sana ilikua ela yako tu. I hope atakua ametulia siku hizi otherwise mwamba ahesabie maumivu
 
Nimewafahamu leo kupitia mleta mada.

Ukiwa unazile mambo za kufuatilia udaku nadhani vitu kama hivi vitakufaa zaidi.
 
Kwa sababu wanacheka Cheka ukadhani wapo sawa?Hebu tupunguze Mkuu mitandaoni watu wanaigiza balaa wanaokula Bata na Raha za maisha hata hawaposti.Hao wenzio hata Hela sizani kama wanazo maana hata huko mitandaoni wanaingia Kutafuta hizo mia mbili mia mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…