Couples Verification!

Mr Rocky ya ngoswe muachie ngoswe ........

kwani vidumu ,small house,nyumba kubwa mnaruhusiwa kumiliki nyie tu.......
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA I hope aliishia mabegani tu hakwenda sehem nyingine......

Leo tutakubadilishia mtu bana

Allishia mabegani tuu.

Nilikuwa namkoaje makonzi.

Nibadilishieni bana...km hutojali leo niwekeeni mtu anayeitwa BAK nilinde naye.
 
Last edited by a moderator:
Bora umeingilia kati mke wangu....tumekubaliana kununua kwa watu8 na Bishanga ndio tutamjaribu kama acid inafanya kazi....
Bishanga kuwa makini ndugu yangu,na hiyo reception yako ilivyopinda sasa sijui ikiongezewa na tindikali itakuwaje.Watu wengine hawana hata huruma hawawezi kuona kama wewe ulishamwagiwa tindikali naturally!
Husijali bwana Bishanga mwanaume anasifiwa kwa kuingia bank sio sura!Wao wamwage lakini hela zako zinazowavutia wadada utabaki nazo!
 
Last edited by a moderator:

ungekuwa na tabia njema kama yangu ingekuwa safi sana....mama analalamika kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…