Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
na wewe ni muhamiaji haram mwenzetu.........
hapana....mimi ni boni endi reizidi hia hia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe ni muhamiaji haram mwenzetu.........
Mr Rocky ya ngoswe muachie ngoswe ........Hizo Heaven on earth ni zetu wenyewe hamruhusiwi kufika huko na hata nilipoweka kidumu huruhusiwi kukishika maana utamwagikiwa na acid yake
Elewa kuwa Heaven on earth ana aleji na wazungu na ashachoka na ngozi nyeusi hii
au dozi yako ya kichovu ndo maana anakimbia unamletea shombo tuu
:shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock: wacha mimi nikae kimya maana hapa nikiongeza neno nitaharibu zaidi
Mhhh huku unampeti peti Vin Diesel na huku unamwandalia grafani11 supu sikuelewi hivi unajua wote hao ni ndugu zangu kasoro tunatofautiana tabia
Mhh mdogow angu huyu yabidi kumrudisha unyagoni kwanza lol
Arabela mdogo wangu, leo jioni tuonane nyumbani kwa dada Fixed Point, afu snowhite naomba uwepo pia
hapana....mimi ni boni endi reizidi hia hia
Lady doctor na Heaven on earth wameubeba moyo wangu.....angalia usiwatingishe wakauangusha...
Haya basi nimesusa!sasa ndio uache kujitembeza...
Nimekukumbuka mwaya nikaona nikusabahi.....
Naona wenyewe wamejitokeza ghafla.poa my dia Vin Diesel hofu kwako
Lazima wamezidiana!ha ha ha...watoto wangu wote nawapenda...
Makorokocho na Mitonyo ya MMU
Bishanga kuwa makini ndugu yangu,na hiyo reception yako ilivyopinda sasa sijui ikiongezewa na tindikali itakuwaje.Watu wengine hawana hata huruma hawawezi kuona kama wewe ulishamwagiwa tindikali naturally!
Hizo Heaven on earth ni zetu wenyewe hamruhusiwi kufika huko na hata nilipoweka kidumu huruhusiwi kukishika maana utamwagikiwa na acid yake