Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Basi hajatulia.
huniwezi na wala sikuwezi ...mimi mume wa mtu, baba wa watoto kadhaa na babu wa wajukuu kadhaa...sitaki vidumu
Asante babe wangu. Nakupenda pia. Nmekuweka moyoni mwingine sihitaji. MiaErickb52 mimi babe wangu ni figganigga naomba utuverify.......Babe wangu figganigga naomba utambue kuwa nakupenda saaaaana!!!!!!!
watu8 ngasukuru sana.........wanikana hadharaniNakujulia wapi mimi....ndio kwanza nakuona leo
Asante babe wangu. Nakupenda pia. Nmekuweka moyoni mwingine sihitaji. Mia
Afu na wewe umetoka wapi kusoma bana
mi si nimeandika kwa wino mweusi ili usisome
Mkubwa mzima wewe
Bado jambo moja ili niweze kuamini maneno yako na kuuruhusu moyo wangu kujivinjari kwako.
Je, unakubaki kumuacha Dena Amsi ili niwe mimi mimi tu? Na if yes unakubali maneno haya yawekwe kwenye kumbukumbu ili siku ukienda kinyume niwe huru kukushtaki?
macho hayana pazia lol....mzima kaka, natumai nawe pia!!
huyu nae ni smolo house au kidumu au............
Aiseee haya maneno na mkeo huwa unamwambia au ni KOKUTONA tu
Vinajichanganya vyenyewe ila babe figganigga hana mpinzani
Wote hapo juu msiwe na hofu, naomba niwatangazie rasmi leo waote hapo juu na wengine wanaotamani kuja kuwa msiwe na hofu, mke wangu heaven on earth tumeshapatana aende aendako lakini jioni aniletee mahesabu mezani.Niwache muke ya muzungu!!!!!!!
nitajie jina la mkeo fasta nimpe taarifa za unayofanya hum ndani!!!!
Vinajichanganya vyenyewe ila babe figganigga hana mpinzani
Niwache muke ya muzungu!!!!!!!
Mwingine huyu hapa chini. Anajifanya shemeji mtu kumbe....ndiyo maana nilimpiga marufuku kufika nyumbani kwangu.Huyu nataka awe small hause na akiwa na huduma nzuri anapanda kuwa big hause
Namwambiaga sana Heaven on earth na nampenda sana hata mwenyewe anajua tumepita milma na mabonde ups and down na kuachana na kurudiana na then tunaweza kuongeza na small hausi hapo hapo
Mwingine huyu hapa chini. Anajifanya shemeji mtu kumbe....ndiyo maana nilimpiga marufuku kufika nyumbani kwangu.
Mbona kuna madai kwamba zubedayo_mchuzi ni wa ArabelaNimekutafutia mimi49 unadengua zubedayo_mchuzi ?
Amedanganyika na weupe wa sura akidhani wewe ni mzungu kumbe mweusi tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
Sio ilimwagiwa long time!Ilimwagiwa akiwa tumboni!Hatishiki huyo ana hela zake,anajua atafuatwa tu!
sawa......utanikuta uliponiacha:A S kiss:
Huamini mbona hata mumeo figganigga amesikia.What!!!!!!!!!!!!we ni wa kusema hayo maneno kweli
kiongozi uko...?tutafutane