Couples Verification!

Couples Verification!

Bado jambo moja ili niweze kuamini maneno yako na kuuruhusu moyo wangu kujivinjari kwako.

Je, unakubaki kumuacha Dena Amsi ili niwe mimi mimi tu? Na if yes unakubali maneno haya yawekwe kwenye kumbukumbu ili siku ukienda kinyume niwe huru kukushtaki?

Mhhh hebu ngoja nisiki ushauri the outcome ya hii statement na zen i will do ze nidful my dear KOKUTONA
Hivi kwani si unakuwa na mimi na Dena Amsi aendelee na kama kawaida kwani kuna shida yoyote
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kwanza naona unachanganya vidume tu hapa....

mara muzungu figganigga mara pendapenda Vin Diesel

Vinajichanganya vyenyewe ila babe figganigga hana mpinzani


Niwache muke ya muzungu!!!!!!!

nitajie jina la mkeo fasta nimpe taarifa za unayofanya hum ndani!!!!
Wote hapo juu msiwe na hofu, naomba niwatangazie rasmi leo waote hapo juu na wengine wanaotamani kuja kuwa msiwe na hofu, mke wangu heaven on earth tumeshapatana aende aendako lakini jioni aniletee mahesabu mezani.

Nashangaa wanaojisifu humu vifua mbele kuwa huyu wangu mara wengine wanajishaua kumuandalia breakfast wakati mke wangu anawafanya kama watumishi wa ndani tu. Nimemuagiza kuchuna mabuzi yanayoeleweka sio vimbuzi uchwara.

Kwa hiyo ukiona umekubaliwa ujue kuna kitu unatakiwa uchunwe mpaka kiishe ili jioni wazee tukae kwenye viti virefu.
 
kwanza naona unachanganya vidume tu hapa....

mara muzungu figganigga mara pendapenda Vin Diesel

Vinajichanganya vyenyewe ila babe figganigga hana mpinzani


Niwache muke ya muzungu!!!!!!!

Huyu nataka awe small hause na akiwa na huduma nzuri anapanda kuwa big hause

Namwambiaga sana Heaven on earth na nampenda sana hata mwenyewe anajua tumepita milma na mabonde ups and down na kuachana na kurudiana na then tunaweza kuongeza na small hausi hapo hapo
Mwingine huyu hapa chini. Anajifanya shemeji mtu kumbe....ndiyo maana nilimpiga marufuku kufika nyumbani kwangu.
 
Back
Top Bottom