Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ni chura zinanizingua my dear!Wewee!
Na macho yako kama mambo yasiojua kufumba,
Hakikupiti kitu kirembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chura zinanizingua my dear!Wewee!
Na macho yako kama mambo yasiojua kufumba,
Hakikupiti kitu kirembo
Kwasababu hatupendaniCjui kwanini hampendani
Ha ha ha wewe mwanaume mashineWe nae nani atamani mwanaume kimbaumbau ,usione watu wamenyamaza tunakula kimya kimyaa tena wa maqna haswaa
Weee nlipigiwa kura kabisa, campaign manager alikua Heaven SentHii roho mbaya umeianza lini
Ha ha ha ha ha ha ha nmecheka eti Steve nyerere na mwanamke yoyote, yani Steve hapendezi na mtu yoyote lolWako wengi, ila naanza na hawa: Jux na Vanessa, Jokate na Kiba, Jokate na Hasheem Thabit, Steve Nyerere na Mama Wema, Steve Nyerere na mwanamke yeyote, Ruge na mwanamke yeyote, Mengi na Jack.
Haa wewe ni balaa steve so awe single tu?Wako wengi, ila naanza na hawa: Jux na Vanessa, Jokate na Kiba, Jokate na Hasheem Thabit, Steve Nyerere na Mama Wema, Steve Nyerere na mwanamke yeyote, Ruge na mwanamke yeyote, Mengi na Jack.
Na yoyote ambayo mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaumeYoyote ile ambayo mwanamke ni mrefu kuliko kuliko mwanaume!
Mkuu hii ni bridge tuu namba zikibadilishwa pm uko game ts overHivi kweli mtu anamtongoza mtu jf na hiz I'd fake? Bora mitandao mingine kuna hata pcha, humu unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia aisee!
Dah watu mna majungu jamani?Nimeshayajua yale mamtu mawili
Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa
Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
nakuja soon ntakucheki shemShem, upo, Ramadhan imekwisha naona bado unajichimbia tu
Teh mwenyekiti mpaka sasa hivi huna mpinzani, roho yako sio ya bara hiliWeee nlipigiwa kura kabisa, campaign manager alikua Heaven Sent
Hata nikiachia madaraka narudi tena, yani kama lipumba vileTeh mwenyekiti mpaka sasa hivi huna mpinzani, roho yako sio ya bara hili
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Hata nikiachia madaraka narudi tena, yani kama lipumba vile
Manga jamaniLakini nika urimbukeni flan hivi
Hahahaahha wee hufaiWako wengi, ila naanza na hawa: Jux na Vanessa, Jokate na Kiba, Jokate na Hasheem Thabit, Steve Nyerere na Mama Wema, Steve Nyerere na mwanamke yeyote, Ruge na mwanamke yeyote, Mengi na Jack.
Hapa umeingia chaka mkuu.Wana MMU jiongezeni kidogo kabla ya kuchangia...
Mada inaongelea couples zisizoendana na kigezo ameweka mfano wa ( MWONEKANO), inakuwaje mnaanza kuhisi hisi wana JF wengine ambao kiuhalisia hata mionekano yao halisi hamuijui?
Ni nani anayemjua huyo mahondaw / smart911 na kipi hasa kinachowaaminisha kuwa hawaendani? mtajuaje kama wote ni jinsia moja au ni mtu mmoja mwenye utambulisho zaidi ya 1?
Na pia wala hawana huo umaarufu mliowavika..
pole mwana,nawewe ukiokota pochi yamtu usirudishe kufidia yako uliyopoteza[emoji23][emoji23]Daah.usinikumbushe machungu.nilitaka niende kwenye shoo yake leo.nimeangusha hela hata hamu sina.nipo tu kitandani.[emoji1] [emoji1] [emoji1]