Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Wako wengi, ila naanza na hawa: Jux na Vanessa, Jokate na Kiba, Jokate na Hasheem Thabit, Steve Nyerere na Mama Wema, Steve Nyerere na mwanamke yeyote, Ruge na mwanamke yeyote, Mengi na Jack.
Ha ha ha ha ha ha ha nmecheka eti Steve nyerere na mwanamke yoyote, yani Steve hapendezi na mtu yoyote lol
 
Wako wengi, ila naanza na hawa: Jux na Vanessa, Jokate na Kiba, Jokate na Hasheem Thabit, Steve Nyerere na Mama Wema, Steve Nyerere na mwanamke yeyote, Ruge na mwanamke yeyote, Mengi na Jack.
Haa wewe ni balaa steve so awe single tu?
 
Nimeshayajua yale mamtu mawili

Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa

Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
Dah watu mna majungu jamani?
Teh teh hakika sijajutia kufungua huu uzi.
 
Wana MMU jiongezeni kidogo kabla ya kuchangia...

Mada inaongelea couples zisizoendana na kigezo ameweka mfano wa ( MWONEKANO), inakuwaje mnaanza kuhisi hisi wana JF wengine ambao kiuhalisia hata mionekano yao halisi hamuijui?

Ni nani anayemjua huyo mahondaw / smart911 na kipi hasa kinachowaaminisha kuwa hawaendani? mtajuaje kama wote ni jinsia moja au ni mtu mmoja mwenye utambulisho zaidi ya 1?

Na pia wala hawana huo umaarufu mliowavika..
Hapa umeingia chaka mkuu.
Siyo couple hiyo.
Umbea kipaji ndugu. Hapa ni code tuu zinatembea.
 
Back
Top Bottom