Covid-19: Coronavirus hivi sasa! Ramani, Mataifa, Washukiwa na Vifo

Covid-19: Coronavirus hivi sasa! Ramani, Mataifa, Washukiwa na Vifo

TAHADHARI! Zambia 🇿🇲 Kuna raia wa Italy maeneo ya Luanshya ana dalili za corona yupo katika gari akielekea Ndola inawezekana ametoka South Africa. Gari ni Audi anatumia barabara ya D469

123 Zambia.png
 
Ni suala la muda! Kikubwa mwenye Mungu aepushe dhahama hii
Hakika mkuu maana nikiangalia uwezo wa sector ya afya hapa nchini na maandalizi tuliyonayo naona kabisa kupoteza watanzania wengi sana hii ngoma ikitinga nchini.
Serikali inapaswa kuchukua hatua za ziada against huu ugonjwa
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa tayari ipo reported DRC
 
123 confaw.png

Watu wawili wamefariki kutokana na corona. Idadi imetoka 4,088 to 4,090
 
Mimi ninataka kuuliza tangu cvn 19 itokee kuna taarifa za black skin yaan mtu mweus ameishapata maambukizi au ameishareportiwa kufariki? Maana licha ya kua Afrika wapo walio ugua na misiri leo kafa aliyekua anaumwa ila hakua mwafrika hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dogo mmoja alikua china ni raia wa cameroon alipata corona lakini alipona na alikua cleared kutoka hospitali..

Hakuna research zozote zinazosema kwamba waafrica tuko resistant kwa hawa wadudu.. nadhani jambo la busara ni kuwa waangalifu tu maana kwa life style yetu na ukosefu wa pesa tunaweza kuathirika sana.
 
Kulingana na nina yo jua kutoka source tofauti mwafrika mwenye ngozi nyeusi ana immune kubwa kuliko white Africans and whites ila haimaanishi hatuwezi pata tuna weza sana ila chances za 'ufikiwa na maafa ni ndogo sana au hazipo mfano yule dogo wa Cameroon kule China alipona na akaachiliwa. Sasa kwanini mwafrika ni immune? Sababu ni, back then homo-sapiens walipo migrate kwenda Europe walikutana na species zingine za wanadamu ikiwemo Neanderthal cheki iyo link Wikipedia, the free encyclopedia › wiki
Neanderthal - Wikipedia

Sasa basi wale homo-sapiens ambao hawaku migrate kabisa ndo sisi Sub-Saharan African kwanzia North Africa walipanda kwenda Europe na kwengine. Neanderthals hawakuwa strong na ni extinc. Wale homosapiens walio migrate wali mate na Neanderthals sasa mpaka kufika modern man wakina sisi na wale ngozi nyeupe wale jamaa wana chembe za Neanderthals kwenye DNA zao na wengi ni 2.5% mpaka 4% na hizo chembe ndizo zina wafanya wawee so vulnerable kwenye infection sasa wabongo ni homo-sapiens halisa tulibaki nyumbani hatuku toka na ilo haliku badili DNA make up. Read read more kwa ile link utapata more data.

MZUNGU HATAWEZA KUSEMA HIVO HADHARANI ITAMFANYA INFERIOR PIA CASE NYINGI WANAOKAMATWA HUKU NI NGOZI TOKA KULE. WE ARE NOT SAFE WE STILL CAN CONTRACT THAT SHIT BUT CHANCES OF SURVIVING 99.9% ACCORDING TO MI
Mimi ninataka kuuliza tangu cvn 19 itokee kuna taarifa za black skin yaan mtu mweus ameishapata maambukizi au ameishareportiwa kufariki? Maana licha ya kua Afrika wapo walio ugua na misiri leo kafa aliyekua anaumwa ila hakua mwafrika hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama@Isajorsergio unashabikia sana? au naona tofauti sorry lakini
 
Mimi ninataka kuuliza tangu cvn 19 itokee kuna taarifa za black skin yaan mtu mweus ameishapata maambukizi au ameishareportiwa kufariki? Maana licha ya kua Afrika wapo walio ugua na misiri leo kafa aliyekua anaumwa ila hakua mwafrika hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu wa maisha wanaopitia waafrika ni hatari zaidi ya huo ugonjwa
 
Back
Top Bottom