COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Dah yaani mkuu unaadithia kama naangalia movie flani hivi la kijambazi... Heshima kwako... Next time usiache kunitag.... Natanguliza shukrani
 
Kaka naendelea kusoma vyema makala yako na huku nikiwa natafakari.

Inawezekana vipi katika hali halisi mtu utengeneze kitu kisha ushindwe kukimudu ? Hapa napataka gagaiko.

Pili, tunaambiwa Virus sio hai, lakini tunajiuliza kitu kinachoenea kupitia njia fulani vipi kisiwe hai huku kima athiri ?

Tatu, umesema ya kuwa Bacteria nao wanaundwa (Wanatengenezwa), ila kwao wao wanasayansi husema Bactria ni living organism au living things, kwa maana ni hai, uhai unapatikana wapi ? Yaani sawa sawa leo hii mtu atuambie amemtengeneza mbwa na kuwa hai.

Hili limekaaje, naomba msaada wa maelezo juu ya utengenezwaji wa viwili hivi, au kwao wao Wanasayansi wanamaanisha nini wanaposema "Wametengeneza" kitu fulani. Ila sharti la kitu kiwe kimetengenezwa, lazima kitanguliwe na kutokuwepo kwake kisha ndio kije kuwepo.

Naendelea kusoma makala yako.

Ahsante.
Kwa waliosoma biology zipo sababu za kitu kuwa hai nazo ni naomba nizitaje kwa kizungu
1. Reproduction
2. Growth
3. Feeding
4. Respiration
5. Excretion
n.k hzo zitatosha hapo
Virus anaweza kuwa katika hali mbili yan hai au sio hai ni hai kwakuwa akiwa kwenye mazingira yanayoruhusu yan (when virusis in host body )anakuwa hai maana anatimiza sifa zote lakini akiwa nje anakuwa particle anakuwa mfu
 
Miongon mwa wafatiliaj wa ule uzi Ni Mello baada ya kuona alosto imemzid na mwandishi haonyesh ushirikiano akalazimika kumwaga ugali ili mwandish aonje ladha ya alosto kwa kubak na stor yake
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom