#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

Laughter is the best medicine! 🙂

Sayansi ni ubishi.

Element is indivisible.
No, element ina atom ambazo ni indivisible.
No, atom zina elektroni, protoni na nyutroni.
No, pana sub-atomic particles...
No. Pana nyuzinyuzi na uyumkinikaji...
No...

Chanjo ya Korona inakuja kama dini:

COVID-Deniers.
Vaccine-deniers.
Mask-deniers.

Yaani vitu vipokelewe kama vilivyo bila kuhojiwa.

Inatakiwa hiyo chanjo ijadiliwe na kupingwa vikali, huku proponents wakipangua kila hoja, kwa sayansi. Not by appeal to authority. Not by kwamba nyie Waafrika mnajua hata kutengeneza sindano ya kushonea? Mbona mnakunywa dawa zetu zengine... Chanjo hizo ziachiwe ziwin on their own merits.
 
Kabisa. Young people are almost exempt from the outbreak.

Taasisi kama majeshi, shule, hospitali, nk., zingetumia mbinu ya prophylaxis -- kuwapa dawa za kuzuia maambukizi ya korona watu wao. Dawa hizo ziko nyingi, na effective.
 
Huko duniani kila nchi inajadiliwa. Makampuni yote huombwa kufikisha takwimu zao za kitafiti

Tanzania tuna mamlaka zinazohusika. Kinachotakiwa ni kuyaambia makampuni yalete takwimu na sample halafu tufanye utafiti na kukubali au kupinga hizo vaccine kwa data na kisayansi siyo kwa maneno tu!

vivyo hivyo nasi tuonyeshe nyungu inatengenezwa na nini na inafanyaje kazi.
Halafu tuonyesha data za namna gani inafanya kazi kisayansi.
 

Let's get started!

Askari mmoja kati ya watatu wa majeshi ya Marekani hawataki chanjo.

Pfizer's former Vice President and Chief Scientist for Allergy and Respiratory Vaccines - Mike Yeadon says - most people should NOT take Covid vaccine. Kutoka kwa mmojawao watengeneza chanjo (wa zamani).


Web Translator (Translated) : 69 Swedes dead after corona vaccination. 69 svenskar döda efter coronavaccinering


One vaccine was deemed less effective than natural immunity after someone gets sick.



Kwani hizo Vaccine ziko CDC Approved?


 
Huwezi kupinga chanjo ya Corona kutoka Ulaya halafu ukakubali chanjo ya surua (measles), DPT, Polio etc kutoka Ulaya!!
Kinachopingwa siyo chanjo bali uharaka uliotumika kuitengeneza. We umesikia wapi chanjo inafanyiwa uchunguzi, majaribio, uhakiki na kuanza kutumika rasmi chini ya mwaka mmoja?
 
One vaccine was deemed less effective than natural immunity after someone gets sick.
Watu wengi huwa wanapata flu kwasababu ya kuchomwa haya machanjo (ya flu) kila mwaka. Huwa yanaingilia mfumo wa kinga wa asili na hivyo kumfanya mtu awe rahisi kupatwa na madhara. Mimi huwa nayapinga sana haya madudu na kwakweli huwa sipatwi na flu.

Mwanangu mmoja alipokuwa mdogo mama yake alimpeleka kupata chanjo ya flu, baada ya siku mbili kaliumwa sana na baadae wote tukapata flu, nilimwambia mwenzangu akome kumpeleka tena kupiga hayo machanjo ya flu. Toka kipindi hicho mpaka leo hajawahi kuumwa tena.
 
Where did you find that information which says that Boris John doesn't his family to take the vaccine? His father was inoculated. Does he count as a member of his family?

Do you have the count from Tanzania?
Tanzania hasn't given more data since the suspension last year. That said, Covid-19 hasn't killed as many people like UK or USA - (comparatively to its population).

The information is from Westminster talk.
 
Tanzania hasn't given more data since the suspension last year. That said, Covid-19 hasn't killed as many people like UK or USA - (comparatively to its population).

The information is from Westminster talk.
Swali unapinga vipi data bila kuwa na data? Hakuna data !
 
Kinachopingwa siyo chanjo bali uharaka uliotumika kuitengeneza. We umesikia wapi chanjo inafanyiwa uchunguzi, majaribio, uhakiki na kuanza kutumika rasmi chini ya mwaka mmoja?
Rudi nyuma ukatafute nyuzi niliyoeleza kuhusu sequencing, Dr Koch na Dr Jenner.

Kasome vaccine na ugunduzi wake kuanzia 1700 kabla hujaandika kitu.

Nikuulize viswali kadogo tu, kwani vaccine inachukua muda gani kuwa developed?
Kuna aina zipi za vaccine?

Hiyo vaccine ya Polio uliyotumia na ile ya surua na DPT zilitengenezwa kwa muda gani?
 

Kupata hizi habari za mitandaoni kuna tatizo sana. Habari hizi zimeondoa uwezo wa kawaida wa watu kufikiri
Mtu akipata habari hana haja ya kutafiti anafikiri ni ukweli.

Mlenge kuna Anti-vaxxers na Deniers. Haya ni makundi mawili tofauti kabisa

Niishie hapo
 
Tofauti yao ni nini hao Anti-vaxxers and Deniers? Internet tulio mbali na eneo la tukio ndio njia yetu kuu ya kupata taarifa. Je, si kweli kwamba theluthi ya wanajeshi wa Marekani waliokuwamo kwenye sampuli iliyoripotiwa hawakutaka kuchanjwa?
 
Tanzania hasn't given more data since the suspension last year. That said, Covid-19 hasn't killed as many people like UK or USA - (comparatively to its population).

The information is from Westminster talk.

My question was simple and direct. What's the source of your information which says that the PM of UK doesn't want his family to take covid jabs? I want to see the source so I can verify whether that is true or not and if it true , in what context the PM uttered that statement. As you know very well, the the internet is full of garbage and for my own sanity, it will be better if I verify the source and try to dig out the facts.

Now with regard to what you have said above, the entire African continent faired well in the first wave. So it isn't time for national celebration to show the world that we have done much better than our former colonial masters or the world super power. If I ask you how many people tested positive and how many died, you will not have the number? So, how do you compare Tanzania and the UK when you haven't collected data from Tanzania?
 

The population of mainland Tanzania was about 11 milioni in 1961. Today the population is between 50Mil and 60Mili. One of the factors that contributed to this rapid growth of population is the vaccination of children. So, you can't says vaccines are all bad while you enjoy its benefits.
 
You're trying to paint all vaccines in one big broad brush. We're specifically talking about Covid vaccine(s) and arguing why it was rushed to the market, without having to go through a thorough review. It was reported today that, pfizer and moderna vaccines are useless against South Africa variant, what's your take on that?

 
Tatizo siyo tekinolojia ya kutengeneza chanjo haraka bali muda wa kutosha wa kuifanyia majaribio ili kuona kama haina madhara baada ya muda fulani. Tumeshaona chanjo zote za Moderna, pfizer na AstraZeneca zinapunguza uwezo wa kinga ya mwili, kwa kile kirusi kilichobadilika kule Afrika kusini. Kama wangekurupuka kupiga watu chanjo kule unafikiri nini kingetokea?
 
... and that's another problem with vaccines, once in the body they can't adapt to a new stimuli while the immune cells can. So, it makes sense to invest in enabling our body with resources that would enhanced our immune system.
For example, I see very health young people being nyungulized. This group of people has a robust immune system which work very well against covid. So what is the point of doing this? It is like prescribing a 50 years old woman birth control pills.
You can't be too careful, we're still learning about this virus. What if some months later, we find that the virus actually remain dormant in young bodies but may reactivate and replicate years later.
Isn't the same people who inhale hot steam everyday to clean their lungs from covid virus? Tanzanians are notorious for looking medical shortcuts.
I hope you understand that any virus contain Capsid protein and proteins get denatured at high temperatures due to molecules increase in kinetic energy. So inhaling steam helps to break up one of virus building blocks.
There are few studies that were done in the effect of Allicin (compound found in garlic) on virus, bacteria and fungi. Samples of garlic juice were taken "in vitro" and found to be able to kill viruses and bacteria instantly (ref sciencedirect).

When garlic juice full of allicin is aerosolized and enters the alveoli (air sac) through the nasal passageway, it kills every microorganism it encounters due to many properties it contains, including hygroscopic. Some bacteria and viruses need some wetness to replicate (the reason flu is prevalent in cold seasons), the presence of garlic prevents that from happening.

Once allicin gets in the alveoli it goes straight into the circulatory system and eventually to every cell in the body, within seconds. Its Immunomodulation property enables the immune system to be on super alert mode and that's what some refers to it as the improvement of the immune system.

Allicin has vasodilator property (widening of blood vessels) which lowers blood pressure. On the other hand hypertension activates the release of cortisol hormone (stress) which has the tendency to suppress the immune system, allicin acts like a double edged sword to reverse that.

Last but not least, allicin also has anticoagulant property (prevent blood clot). Autopsies of covid-19 patients revealed that most had blood clots in their lungs and other vital organs. I am a Covid - 19 survivor and I had first hand experience of how much painful Corona is. I'm talking about muscle aches, fatigue and chest pain, the virus causes due to microemboli (tiny blood clots). Crushing two cloves of garlic and drinking it after mixing with a glass of water would save a lot of peoples lives. (ref Autopsies indicate blood clot are lethal in Covid 19)

You won't hear much about these studies or the benefits of garlic on your favorite news channel because it's bad business, you can't patent garlic.

ref : effects of garlic on viruses
 

I am not trying to paint all vaccines with the same brush. I was talking the benefits of vaccination. In short period of its existence, this type of preventive health care has saved more lives than any other form of preventive medication you know. Besides, it has contributed to the quality of life we enjoy. Therefore, when we try to argue its merit, we should come up with concerns that make sense. Otherwise we look like primitive fools.

With regards to pfizer and moderna, the articles you have referred to indicate the reduction of antibody when those vaccines are testing against the South Africa variant in lab setting. This is a real concern and a debate we should have because those vaccines will provide little or no protection in area where variant is prevalent.

However, we Tanzanians we shouldn't use this revelation to bash those who have spent their money, time and other resources to discover the covid vaccines because we have contributed nothing in this efforts. As a society, we can't stand on sidelines and waiting for other people to fail. We should be active participants.
 
Stop ! crap !hujui kitu.

Unajua mutation? Unajua replication? Unajua gene coding?

Huko South Africa hawajapata chanjo ya Pfizer au Modena.

Hujui kitu kaa kimya ujifunze! utaelewa zaidi kuliko kubwabwaja. Inasikitisha sana
 
Not only that, ugunduzi wa Dr Jenner unatajwa kuwa ugunduzi uliookoa maisha ya wanadamu kuliko ugunduzi wowote uliofanyika, unaofanyika hadi sasa.

Moja ya vitu vinavyoongeza population na life expectancy ni Healthcare.
Katika hilo kuna primary, secondary and tertiary healthcare

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa katika mpango wa WHO wa EPI (Essential program in Immunization)
Chanjo imeokoa sana maisha hasa watoto.

Zakumi hawa watu wanashangaza sana, wanasema vaccine ni mbaya wakati wao wamepata ya measles, Diptheria, Pertuissis and Tetanus(DPT) na Polio na zamani small pox

Ugonjwa wa small pox (Ndui) umeua watu wengi sana dunia, lakini chanjo imefanikiwa kuufuta kabisa

Sasa argument kwamba vaccine ya Corona ni mbaya na ina lengo baya kwetu ni DOA (Dead on arrival)
Kama wanataka kumaliza population watatumia chanjo nyingine za watoto n.k. ! ha ha ha

Halafu kuna wanosema Chloroquine na Ivermectin, bila kujua zinatengenezwa na wazungu

Kitu kimoja nimejifunza, kuna kusoma halafu kuna kuelimika. Hivi ni vitu tofauti kabisa
Watanzania tuna tatizo katika elimu. Mfumo wetu wa elimu hauruhusu kufikiri na ni rahisi sana kuwa manipulated .
 

First, I am very sorry to hear what you have gone through. The disease killed my father, and some of my siblings are recovering from it. And the condition they describe are the same as yours. So, I don't take it lightly when I discuss covid-19. In one way or another it has changed my life.

Where I live, the covid-19 was rampant and has killed a sizable number of people. However, the health care system here is robust and that helped tremendously. Otherwise the situation could have been worse . Additionally, the data collection system here is very advance and has helped to identify some key variables which drive the preventive measures and resource allocation.

For example when you analyze the data we have collected here, you will get a picture of where disease has caused havoc demographically and what kinds of resources should be applied. Therefore, I think when we promote the use of any method, we should factor in various demographics in the society such age groups, gender groups and so forth. It dishearten me to see the minister of health doing the promotion of nyungu as if therapy is effective to people in advance age group or with preexisting medical condition.

As we know, the first line of defense is your own immune system. And it's this system that has helped many people recovery from covid19 and other diseases. For example, if you have looked at the data, young health people who have contracted covid 19 have faired very well compared to other demographic groups. Even health young people who haven't used garlic juice or a steamer of some sort have recovered well.

Not get me wrong, I know the value of nyungu. I know that garlic has some nutrition and medical values. However, I am very skeptical on the way we treat the disease. Take for example Maalim seif and Balozi Kijazi...they were above sixty. I know Maalim seif had some preexisting medical issues. I don't much about Dr. Kijazi but he's a bit heavier..... so my question is do we prescribe the same therapies (garlic and nyungu) to people who are in a risk category?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…